Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

Na huu mpango wa kujenga bomba la gas aliuasisi mwendazake

Pili gas ipo lakini hakuna viwanda vinatumia hapa Bongo sasa si bora iuzwe?

Ni uzwazwa kukaa tuu na kitu hakina faida kwako,eti viwanda vya Kenya vitazalisha kwa bei ya chini kwani vya Tzn vimekatazwa kutumia gas?
 
Mama anachofanya anafungua uchumi wetu ambao ulikuwa umejifungia.hiyo gesi kwenda Kenya mleta mada unadhani inakwenda bure?
Isome hoja yake tena kwa kawaida ru utaona mantiki
 
Tunaweza kuanza na mitungi tu halafu tushushe bei ya refilling ili supply na demand vikue kwa kasi wakati tunabadili kutoka mitundi kuingia mifumo ya pipes za gesi, hii itawezekana kabisa.
 
Mapimbi hao
 
Unaandika vizungu viiingiii ushuzi mtupu!

Monopolistik sijui manini nini!

Uhuru Kenyatta ni mjanja wa mjini yule.

Kashampiga bao Bibi SASHA.
Watu wenye mentality za magufuli mtateseka awamu hii.mambo ya kujifungia ndani kuhusu maendeleo hayana nafasi tena mama anafanya vema tena kwa speed. Katoka Uganda tumesaini bomba la mafuta ,kaenda kenya tutauza gesi Kenya.nyie kufeni tu hamna faida
 
Hao wenye makalai ya C hawawezi kuelewa mkuu,ni wapumbavu Sana

Ndio maana mama kasema yaani usichimbe mali eti iko hifadhini sijui eti isubirie vizazi,hivyo vizazi vitanufaika vp wakati vimelelewa kwenye umaskini na mazingira mabovu?

Teknolojia inabadilika ukikaa na mali utaishia kuwa useless,ukibakia nayo na hutafuti soko wenzako watatafuta

Mama chapa Kazi usisikilize hawa mbwa wajamaa pumbavu zao
 
Huu uoga uoga na kutokujiamini kutatuchelewesha ndugu zangu maendeleo yanakuja katika win win situation msiwe na hofu samia a a speed tulichelewa sanaa.
 
Kwako wazuri ni akina nani? Usiwe mpumbavu ndugu
 
Tusisahau kuwa yapo masuala ya mahindi yetu kupigwa zengwe pale mpakani, Haya ni mambo ya marais kuyaweka sawa.

Huwezi kukwepa kwanza kuonana na jirani yako kabla hujawaza kufika mbali.

Angeanza Safari ya kwanza Washington kuonana na Biden bado kuna watu wangeanzisha maneno ya nongwa.
 
Huwezi weka kiwanda ambako hakuna consumer lazima uuze malighafi la sivyo ujenge uanze kusafirisha kwenye masoko tena kitu ambacho ni ghali kwa biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…