Mama fungua nchi tupate maendeleo, Mwendazake alichezea sana hii nchi ilikuwa kama shamba lake anavuna apendavyo au kama zoo yake binafsi anajipigia tu apendavyo... Alituchelewesha sana kupata maendeleoAnafungua nchi hata visivyotakiwa kuingia viingie?
Wakenya wao wameomba tuwapelekee gesi lakini hii haizuii hiyo gesi sisi kuipeleka huko unakosema..Hoja nyepesi, viwanda si lazima viwe Dar tu, itengenezwe distribution network kwa nchi nzima halafu ndio lije swali la ULIIFANYIA NINI.
Peleka bomba magharibi watu wakatumie chillers kuhifadhi samaki, peleka kaskazini na kusini, weka provision kila mkoa, fanya makadirio ya matumizi yake, kisha tuambie tunao uwezo wa kuuza kwa nchi jirani baada ya kukidhi mahitaji yetu.
Kuna watu walitaka wazalishe umeme, serikali iwajengee transmission line ya kuupeleka umeme huo Kenya kwa mauzo, hiyo ni miaka 8 nyuma, na mwenye akili hiyo ni mtanzania kiongozi.
Kwahiyo ulitaka mama aende kwa Kagame ili awe Rais wa maisha? Hivi ule Mpango wa kuongeza miaka ya uongozi umeishia wapi!?Unaandika vizungu viiingiii ushuzi mtupu!
Monopolistik sijui manini nini!
Uhuru Kenyatta ni mjanja wa mjini yule.
Kashampiga bao Bibi SASHA.
Mambo ya kulinda viwanda vipi...hivi viwanda vya maji?? Rekebisheni productions costs za bidhaa zenu, siku zote zinakuwa juu kuweza kucompete na bidhaa toka nje. Mamake utashangaa pale tutakapowauzia gesi Kenya, lakini baadae wataweza kuproduce bidhaa zenye quality na kutuuzia at a cheaper price than as compared to our products...mambo ni mengi,tusitafute mchawi na ndio global business ilivyo.Sioni sababu ya kuzua gesi isiuzwe eti kwa ajili ya kulinda viwanda hii roho mbaya
Hebu tupe takwimu zako..!!Huyu Mama anatufanya sisi wajingaaaaa... kumbe tunamwangalia tu akili zake zinapofikia
Eti takwimu za uwekezaji wa Kenya hapa kwetu kazitaja kwa dola na idadi ya miradi
Takwimu za uwekezaji wa Tanzania nchini Kenya kazitaja kwa trilioni za shilingi ya Kenya na idadi ya makampuni
Yani vitu vinne tofauti, makusudi kabisa ili kutuchanganya tusiweze kulinganisha...
Roho gani mbaya wakati akina Dangote walinyumwa gesi na ni viwanda vya ndani sasa hapo unatengeneza mazingira gani kwa viwanda vyetu.Sioni sababu ya kuzua gesi isiuzwe eti kwa ajili ya kulinda viwanda hii roho mbaya
Sukuma Gang mnatapatapaWazee wa ndio "mama" utawajua tu
Mtoa Mada naona hajatizama hili jambo kwa upana. Kwanza anasema unauza Gas bidhaa zao zitakuwa rahisi sasa viwanda vyetu wanashindwa nini kutumia hiyo Gas na bidhaa zao ziwe rahisi na pia sisi tunauza Gas sio kutoa msaada. Mambo ya ndege Air Tanzania haishindani na Kenya soko ni kubwa na kila mtu anashindana kama unaona Kenya huiwezi sasa hao kina Qatar, Emirates, Flydubai na Ethiopia ukiondoa Emirates wote wanatua kilimanjaro ila ameona Kenya airways tu, hawa wanaleta watalii kama humtaki Kenya wakatae na wengine. Dubai wana mandege kibao lakini ndege za nchi nyingine zote zinatua kwao sijasikia wakisema tunazo ndege za kutosha hatutaki ndege zingine. Tatizo kubwa sisi tunaogopa sana ushindani dunia hii biashara ni ushindani unadhani Fast jet tungewaacha wakashindana na Air Tanzania na bei zingeshuka kwa faida ya mteja ila wakawaondoa ili bei wa control.Sioni sababu ya kuzua gesi isiuzwe eti kwa ajili ya kulinda viwanda hii roho mbaya
Licha ya kuijua historia yao pia nimeishi CHINA miaka 5Unaifahamu historia ya china vizuri kabla ya kuwa exporter mkubwa?
Mama ana sign tu na kupitia kuna wataalamu wa kiuchumi na wanasheria wanatengeneza mikataba mama ana ridhia kwa kuangalia faida na hasara ya mkataba.Unaandika vizungu viiingiii ushuzi mtupu!
Monopolistik sijui manini nini!
Uhuru Kenyatta ni mjanja wa mjini yule.
Kashampiga bao Bibi SASHA.
Unauza nje unataka $ sio Tsh. Viwanda gani vilinyimwa na kwa sababu zipi lazima tuwe specific sio kuongelea kiujumla tu.Kinacholalamikiwa ni viwanda vya ndani kunyimwa gesi halafu unaenda kumpa mtu wa nje, kwani ukatumia hata 1% tu ya ubongo wako, utapungukiwa na nini?
Aliyemnyima Dangote unamjua??Roho gani mbaya wakati akina Dangote walinyumwa gesi na ni viwanda vya ndani sasa hapo unatengeneza mazingira gani kwa viwanda vyetu.
Yani unamnyima dangote unaenda kumpa mkenya, this is nonsense!
Labda diplomasia ya kuvaa ushungi.Sasa tuna shuhudia Diplomasia yenye viwango vya kimataifa.
Diplomasia ktk nyanja zote, hakika tutafanikiwa.