Mhe. Samia amesema Serikali inatambua na kutahamini mchango wa Diaspora kwenye maendeleo ya Taifa na kuwahimiza kuendelea kuitangaza nchi kwa kusema yale mazuri yanayopatikana nchini ikiwemo vivutio vya utalii na fursa za biashara na uwekezaji.
Je, Diaspora wetu wana mchango wowote kuisaidia Tanzania kisiasa? Wana any influence kwenye siasa za nchi yetu? Angalia Diaspora wa India
Wanabodi, Nimesoma mahali kuhusu mchango wa diaspora na influence yao kwenye siasa za nchi zao, hivyo najiuliza, je hawa wana diaspora wetu sisi Tanzania, waliotapakaa ulimwenguni kote, jee wana mchango wowote katika siasa za nchi yetu? Je, wana influence yoyote kutumia their exposure na the...