Ziara ya Rais Samia Nchini Norway baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, Februari 13, 2024

Ziara ya Rais Samia Nchini Norway baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, Februari 13, 2024

Mfalme Harald na malkia Sonja, Katika Hafla ya dhifa Ya Chakula Kwa Heshima ya mgeni Rais Samia Hassan​

King Harald and Queen Sonja held a gala dinner for Tanzanian President​

byHelen-February 13, 202410 Comments

President Samia Suluhu Hassan, Queen Sonja, Crown Princess Mette-Marit and Princess Astrid attended a dinner at Royal Palace
On the evening of February 13, King Harald and Queen Sonja held a gala dinner in honor of Tanzanian President Samia Suluhu Hassan at the Royal Palace in Oslo. Crown Prince Haakon, Crown Princess Mette-Marit and Princess Astrid also attended the gala dinner. President of the United Republic of Tanzania, Samia Suluhu Hassan is making a State visit to Norway on February 13 and 14, 2024 at the invitation of the King and Queen.
President Samia Suluhu Hassan, Queen Sonja, Crown Princess Mette-Marit and Princess Astrid attended a dinner at Royal Palace
President Samia Suluhu Hassan, Queen Sonja, Crown Princess Mette-Marit and Princess Astrid attended a dinner at Royal Palace
President Samia Suluhu Hassan, Queen Sonja, Crown Princess Mette-Marit and Princess Astrid attended a dinner at Royal Palace
President Samia Suluhu Hassan, Queen Sonja, Crown Princess Mette-Marit and Princess Astrid attended a dinner at Royal Palace
President Samia Suluhu Hassan, Queen Sonja, Crown Princess Mette-Marit and Princess Astrid attended a dinner at Royal Palace
 
Queen Sonja na Rais Samia Hassan katika hafla ya chakula cha jioni

1707947913322.png
 
Ziara hii imeacha gumzo katika wafuatiliaji wa taarifa za shughuli za kifame (Royal Tours) za wafalme na malkia wa bara la ulaya.

Tanzania imetumia soft power (nguvu isiyoumiza) vizuri kupitia Royal tour hii ya mwaliko wa King Harald V wa Norway
Taifa linafaidika na nini.
Uchawa umekuzidi.
Akili kisoda
Ninyi ndio manatufanya waafrika wote tuonekane hatuna akili.
Sababu ya vipesa na vyeo mnavyopeana.

Kila sekta hakuna inayofanya Vizuri.

Mwambie huyo bibi aje asimamie maendeleo ya Nchi sio kila siku na njia.

Anatumia kodi zetu.
 
Rais wa Tanganyika Mh. Julius Nyerere alipotembelea Norway mwaka 1963

View: https://m.youtube.com/watch?v=lGWB3vr3RMg

Kazi inaendelea 2024
Ni muendelezo wa Royal Tour nchi inazidi kufunguka kwa ziara hizi kiuwekezaji wa kimataifa, kiutalii, sekta ya nishati na pia ushawishi kimataifa
 
Ni muendelezo wa Royal Tour nchi inazidi kufunguka kwa ziara hizi kiuwekezaji wa kimataifa, kiutalii, sekta ya nishati na pia ushawishi kimataifa
Hakuana mwekezaji hapo hao ni capitalist umewafata wenyewe utanyonywa mpka akili ikukae vizuri..

Kama haya mawazo ndiyo mnamshauli huyo Hangaya. Mtakuwa mnakosea njia.

Maendeleo ya Taifa yanaletwa na wananchi wenyewe chini ya viongozi wenye maono na dira thabiti.

Mnaenda kufanya uzururaji tu mkirudi tukifanya assesment ya kilichowapeleka huko na faida kwa taifa Ni zero.

Mnatumia gharama nyingi mnaishia kuonana na wafalme na kupiga picha. Kweli Hamna akili.
 
Ziara hii imeacha gumzo katika wafuatiliaji wa taarifa za shughuli za kifame (Royal Tours) za wafalme na malkia wa bara la ulaya.

Tanzania imetumia soft power (nguvu isiyoumiza) vizuri kupitia Royal tour hii ya mwaliko wa King Harald V wa Norway

Samia ni Malkia hataki kujishughulisha na walalahoi, ni bora akutane na wafalme, watu maarufu duniani, bora afanye royal tour (safari za kifalme) kila mwezi kuliko kukutana na wananchi wake wengi kutatua matatizo yao.

Hiyo kazi haimuhusu anawaachia wengine. Ila sasa akikuona tishio, unasema ukweli, au akiambiwa unapendwa kuliko yeye anakupiga chini. Muulize Ndugai, Lukuvi, Kabudi, Polepole, Kalemani, Bashiru, Majaliwa au Jaffo.
 
State visit from Tanzania: His Majesty The King´s speech​

1707958480132.png

King Harald V

Speech given by His Majesty King Harald during the gala dinner at Oslo Royal Palace in honour of the state visit from the United Republic of Tanzania 13 February 2024.

President Samia Suluhu Hassan,
Ministers,
Excellencies,
Distinguished guests,
Ladies and Gentlemen,
Karibu, Madam President!

It is a great pleasure for the Queen and I to welcome you to Norway.
We have fond memories of our visit to Tanzania in 1981, which was our first visit to Africa. We had the honour of meeting then President Nyerere, and the beauty of your country made a deep impression on us.

From the Serengeti plain to the Swahili coast, it was a wonderful introduction to the continent. And unforgettable – in so many ways. I can assure all of you:
If you ever experience to be chased by a rhino, you will never ever forget it – just ask the Queen. But we don’t blame him: We were after all not-invited visitors on his turf.

We left Tanzania with a great appreciation of the hospitality of the Tanzanian people – and most of the animals.

Your visit brings warmth into our cold Norwegian February. Your visit also coincides with the 60th anniversary of diplomatic relations between our two countries.

In the years after independence, Tanzania led the way as a champion for the independence of all African nations, and Norway was proud to stand with you.

Tanzania has always been a central meeting place, where people have come together in the spirit of unity. This has forged a uniquely hospitable culture – and Kiswahili as a language now connects people across national borders.

Tanzania and Norway seek to reach decisions in the spirit of equality between nations. Both our countries support a multilateral system where all voices are heard, a system that is essential for maintaining peaceful relations between countries.

Madam President,
You are known for your devotion and service to your people.
You have shown great leadership and dedication in ensuring that all voices can be heard, including the voices of women and girls.

Your work to ensure the right of girls to an education is commendable. Tanzania and Norway share a commitment to safeguarding the rights of women and girls.

The prosperity of our nations is based on our natural resources, and climate change is a key challenge for both of us. In 2023 our countries agreed to continue to deepen our cooperation on climate action.

Both countries are blessed with abundant renewable and fossil energy resources. It is critical to find sources of energy to meet the needs of a growing global population while implementing a just and sustainable green transition.

The need for clean cooking solutions is another area of critical importance, and we would like to congratulate you on the launch of the African Women Clean Cooking Support Programme this past December.

I am also pleased to see that major Norwegian companies are showing an interest in increasing cooperation with Tanzania in the area of green energy.

Madam President,
Tanzania and Norway are both fantastic tourist destinations, and the tourist industry is vital to our economies.

At this time of year, I am confident that sun-worshippers dream of Zanzibar’s beaches – whereas Norway can offer passionate skiers and snowboarders fulfilment of their dreams.

Tonight, we have gathered here in Oslo in recognition of our deep respect for each other – and with an optimistic view on what we can achieve together.

I ask you all to join us in a toast to Her Excellency President Samia Suluhu Hassan, to the people of Tanzania and to the close and friendly relations between our two countries.
Skål

1707958587921.png
 
Hakika watanzania wangejua CCM ilivyouza utajiri wa gas Kwa wageni na kupoteza utajiri wote wa mabilioni ambao ungeweza kuondoa umaskini Kwa kiasi kikubwa sana, Leo CCM isingekuwepo madarakani na viongozi wake wengi wangekuwa jela, Nina inside story kuhusu swala zima la gas ilivyopotea, Kuna siku nitaiweka hapa
 
View attachment 2902967
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, tarehe 13 Februari, 2024.

View attachment 2902968
View attachment 2902970
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya mapokezi yake katika Kasri la Kifalme, Oslo nchini Norway tarehe 13 Februari, 2024.

View attachment 2902976
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfalme Harald V wa Norway pamoja na Malkia Sonja mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo kwa ajili ya ziara ya Kitaifa, tarehe 13 Februari, 2024.

View attachment 2902978
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kukabidhiana zawadi katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, tarehe 13 Februari, 2024.

View attachment 2902979
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpa zawadi Malkia Sonja mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme, Norway wakati wa ziara yake ya Kitaifa, tarehe 13 Februari, 2024.

View attachment 2902980
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kuweka shada la maua katika Mnara wa Kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway, tarehe 13 Februari, 2024.

View attachment 2902981
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway, tarehe 13 Februari, 2024.
Hapa tumepigwa za uso, tumeoata vasco dagama mwingine baada ya kimwete.

Nyumbani hakuna umeme, hakuna maji, sukari 5000, anatapa wapi nguvu ya kuchukua ndege na kupakia kundi la maofisa wa serikali zaidi ya 50, kwenda kusoma speech ya dk 5 kuhusu nishati?

Watu wangapi wanapata hasara kwenye biashara kwa sababu ya kukosa umeme?

Nadhani tatizo sio tanesco, tatizo ni serikali.
 
Kweli mama anakula bata mzinga huko nchi za watu aisee!
 
Norway imekua mfadhili mkubwa kwa Tanzania kwa miaka mingi, lakini sisi ni vichwa vigumu tu tungeweza kufaidika sana na utaalamu wao licha ya pesa zao kugharimia miradi
 
Hapa tumepigwa za uso, tumeoata vasco dagama mwingine baada ya kimwete.

Nyumbani hakuna umeme, hakuna maji, sukari 5000, anatapa wapi nguvu ya kuchukua ndege na kupakia kundi la maofisa wa serikali zaidi ya 50, kwenda kusoma speech ya dk 5 kuhusu nishati?

Watu wangapi wanapata hasara kwenye biashara kwa sababu ya kukosa umeme?

Nadhani tatizo sio tanesco, tatizo ni serikali.
Tatizo ni kiongozi namba moja, hajali. Anateua wahuni.

Unafikiri Kalemani angekuwa pale kwenye nishati kungekuwa na tatizo, au Polepole umuweke kwenye maji matatizo yangepungua, Kabudi kusimamia sheria, Lukuvi Ardhi. 70% ya matatizo ya watanzania yangepungua.
 
Leteni pia habari za maana juu ya safari yake wamejadiliana nini mambo ya maendeleo kwa nchi hizi.

Naona kama mnamhujumu rais aonekane anafanya tour tu.
 
Naona kama mnamhujumu rais aonekane anafanya tour tu.

Wednesday, February 14, 2024​

RAIS SAMIA AINISHA MAENEO MUHIMU YA UWEKEZAJI NCHINI KWA WAWEKEZAJI WA NORWAY​

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amewakaribisha wawekezaji kutoka Norway kuja kuwekeza nchini kwenye sekta zinazogusa maisha ya wananchi wengi na kukuza uchumi wa nchi ikiwemo nishati mbadala, kilimo, gesi na mafuta, mifuko ya uwekezaji na usafirishaji.

Mhe. Rais Samia ametoa wito huo alipohutubia Wajumbe walioshiriki Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Norway liliofanyika jijini Oslo, tarehe 13 Februari 2024

Mhe. Dkt. Samia ambaye aliongozana na Mwana Mfalme wa Norway Haakon kwenye Kongamano hilo amesema Tanzania inahitaji wawekezaji wenye nia thabiti kuja kuwekeza mitaji yao nchini kwenye sekta ambazo kwa kiasi kikubwa zinagusa maisha ya wananchi moja kwa moja kama vile chakula, umeme, mafuta na usafirishaji.

Amesema Tanzania ni sehemu salama kwa wawekezaji kutoka Norway kuwekeza mitaji yao kwakuwa Serikali imeboresha sheria mbalimbali za uwekezaji na kwamba kijografia Tanzania inafikika kwa urahisi na inapakana na nchi nane ambazo ni soko kubwa kwa wawekezaji na pia Tanzania ni nchi ya amani inayoamini katika usawa na utawala wa sheria.

Akizungumzia kilimo, Mhe. Rais Samia amewaeleza wawekezaji hao kwamba bado sehemu kubwa ya ardhi ya Tanzania haijatumika ipasavyo kwenye sekta ya kilimo ambapo zipo Hekta milioni 44 zinazofaa kwa kilimo na kati ya hizo Hekta milioni 29.4 zinafaa kwa kilimo cha umwagiliaji

Ameongeza kuwa, Tanzania ni nchi ya 10 duniani kwa uzalishaji wa zao la Alizeti na ni nchi ya pili Afrika kwa uzalishaji wa zao hilo ambalo bidhaa zake ikiwemo mafuta zinahitajika kwa wingi nchini na nchi jirani.

Kuhusu nishati mbadala, Mhe. Rais Samia amewahamasisha wawekezaji hao kuchangamkia fursa za umeme wa jua na upepo kwani bado Tanzania inahitaji kuwa na uhakika wa upatikaji wa nishati mbalimbali ikiwemo umeme wa uhakika.

Awali akizungumza katika Kongamano hilo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo amempongeza Mhe. Rais Samia kwa kuhamasisha wawekezaji kutoka nje na ndani ya nchi na namna ambavyo ameendelea kutambua mchango wa sekta binafsi kwenye uchumi na maendeleo ya nchi.

Mhe. Rais Samia yuko katika ziara ya kitaifa ya siku tatu nchini Norway, amefuatana na Mawaziri mbalimbali akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Waziri wa Nci, Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira, Mhe. Selemani Jafo, Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, Waziri wa Fedha, Zanzibar, Mhe. Saada Mkuya, Makatibu Wakuu na Watendaji Wakuu wa Taasisi mbalimbali.

Kongamano hilo limehudhuriwa na zaidi ya Wawekezaji na Wafanyabiashara 150 kutoka Norway na Tanzania.
1708223701951.png
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Norway lililofanyika jijini Oslo. Mhe. Rais Samia yupo nchini Norway kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 13 hadi 15 Februari 2024 kwa mwaliko wa Mfalme wa Norway Herald V.

1708223744820.png
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba akishiriki Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Norway lililofanyika Oslo. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Norway mwenye makazi yake nchini Sweden, Mhe. Grace Olotu

1708223781085.png
Waziri wa Nchi, ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo akizungumza wakati wa Kongamano hilo
Source : mfaTanzania.blogspot.com
 
15 February 2024
Oslo, Norway

Mheshimiwa Rais Samia Hassan akutana na diaspora

Sehemu nyingine ya Diaspora walioshiriki Mkutano na Mhe. Rais Samia

Mhe. Rais Samia akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati ya maandalizi ya mkutano wake na Diaspora nchini Norway

Mhe. Rais Samia akiwa katika picha ya pamoja na wajukuu ambao ni watoto wa wana Diaspora walioshiriki mkutano wake

Awali akizungumza, Balozi wa Tanzania nchini Norway mwenye makazi yake nchini Sweden anayewakilisha pia Nchi za Scandinavia na Baltic, Mhe. Grace Olotu amesema Diaspora katika eneo lake la uwakilishi wapo 3,973 ambapo kwa upande wa Norway ni Diaspora 1,407, Sweden 1,815, Denmark 1,001, Finland, 725, Iceland 11, Estonia 11 na Ukraine 4. Diaspora hao wamegawanyika katika makundi ya wafanyabiashara, wafanyakazi na wanafunzi.

Kwa upande wao Diaspora ambao waliwakilishwa na Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi, Bi. Margaret Adaa wamempongeza Mhe. Rais Samia kwa jitihada mbalimbali anazozifanya nchini katika kujenga umoja na mshikamano nchini na kuinua uchumi kwa kuitangaza nchi kimataifa.

1708223323191.png
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Jumuiya ya Diaspora wa Tanzania wanaoishi Norway alipokutana nao wakati wa ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini humo kuanzia tarehe 13 hadi 15 Februari 2024
Mhe. Samia amesema Serikali inatambua na kutahamini mchango wa Diaspora kwenye maendeleo ya Taifa na kuwahimiza kuendelea kuitangaza nchi kwa kusema yale mazuri yanayopatikana nchini ikiwemo vivutio vya utalii na fursa za biashara na uwekezaji.

Akizungumzia Hadhi Maalum, Mhe. Rais Samia amesema anatambua umuhimu wake kwa Diaspora na kwamba Serikali inafanyia kazi baadhi ya taratibu za kisheria kwenye masuala ya ardhi na uhamiaji ili kukamilisha suala hilo.

Source : mfatanzania.blogspot.com
 
Back
Top Bottom