Ziara ya Rais Tanga; Rais Samia ingilia mgogoro wa ardhi shamba la kilapula (Geiglizy farm)

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Enzi za magufuli alitoa ardhi kwa wanaomiliki ardhi katika shamba tajwa. Aliosema kuwa hata eka 5 wapewe bure.

Leo hii Mkurugenzi wa Muheza anawatoza wananchi kulipia ardhi kinyume na tamko la Maguuli. Kuna dhuluma kubwa, tunaomba uingilie kati.
 
Aaaaahmm.... koh koh,koh eeh Mwanangu Bashe upo? Hili nalo nendeni mkalitizame.
 
Enzi za magufuli alitoa ardhi kwa wanaomiliki ardhi katika shamba tajwa. Aliosema kuwa hata eka 5 wapewe bure.
Leo hii Mkurugenzi wa Muheza anawatoza wananchi kulipia ardhi kinyume na tamko la Maguuli. Kuna dhuluma kubwa, tunaomba uingilie kati.
Maana FA anasemaje?
 
Ziara ya Rais Tanga tena?lini hiyo? Mbona sijaisikia, na mbona kama ameanza campeni mapema hivi!!! Chadema mpo?
 
Back
Top Bottom