Ziara ya Raisi Mbona hawa wananchi hawaelezi kero zao

Ziara ya Raisi Mbona hawa wananchi hawaelezi kero zao

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Wandugu nawashangaa hawa wananchi wanaotembelewa na Raisi Samia siwasikii wakieleza kero zao wamesimama tu kama makatuni flani hivi,hawajielewi au wametishwa.
1-5-1024x511.jpg
 
Hukusikia kauli ya Rais mwaka Jana hataki kuona bango la Kero Kwa Wananchi ilhali iyo sehemu ina mkuu WA wilaya ,mkuu WA mkoa.Na ikitokea ivo hawana KAZI,so yaweza kuwa Wananchi wanapigwa bt na hao wateule
 
Hizo nafasi mumewapa? Au mnataka maiigizo ya kupendwa tuu. Umesahau sinema na watu kutoa zaqadi ya nogoo, juzi wengine wanaigiza royo Tua ya mafuta ya aliziti
 
Wandugu nawashangaa hawa wananchi wanaotembelewa na Raisi Samia siwasikii wakieleza kero zao wamesimama tu kama makatuni flani hivi,hawajielewi au wametishwa.View attachment 2316818
 
Wandugu nawashangaa hawa wananchi wanaotembelewa na Raisi Samia siwasikii wakieleza kero zao wamesimama tu kama makatuni flani hivi,hawajielewi au wametishwa.View attachment 2316818
 
Hukusikia kauli ya Rais mwaka Jana hataki kuona bango la Kero Kwa Wananchi ilhali iyo sehemu ina mkuu WA wilaya ,mkuu WA mkoa.Na ikitokea ivo hawana KAZI,so yaweza kuwa Wananchi wanapigwa bt na hao wateule
Hili ndilo jibu sahihi kabisa[emoji818][emoji818][emoji818]
 
Nadhani hii ni awamu ya kusikiliza kero za uraisi sio kero za wananchi , huyo mama kaifanya nchi hii kama kikoba chake Cha kukusanya chake mapema
 
Huyu hana mvuto wa urais kabsa na watu wanajua hawez kuwasaidia ndo maana hata watu hawajai,
Sio kwamba habebi watu kwa malori na kulazimisha shule na wanafunzi kuhudhuria?

Bila kufanya hayo ccm hata watu 100 hawawezi kuhudhuria. Imechokwa sana
 
Wandugu nawashangaa hawa wananchi wanaotembelewa na Raisi Samia siwasikii wakieleza kero zao wamesimama tu kama makatuni flani hivi,hawajielewi au wametishwa.View attachment 2316818
Kazi za mbunge na Madiwani ni zipi hasa?

Rais hatoi fursa kwa mtu mmja vinginevyo tutakesha..

Diwani wa Chadema huyu hapa akieleza mafanikio,na changamoto 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220807-124036.png
    Screenshot_20220807-124036.png
    100.1 KB · Views: 5
Wewe Samia endelea na hiyo barabara fuata barabara ya mwambao wa ziwa Nyasa fika mpaka mbambabay ujionee barabara huko sisi wa huko kama tupo jehanamu ndio maana Nina hasira na hili Taifa.
 
Yule mwingine alikuwa mpenda sifa ndio maana wapambe walikuwa wakiwaandaa wananchi sehemu fulani halafu wanadai Msafara wa Rais umesimamishwa wakati sio kweli na hata watu wanaodai wana kero wanakuwa wa mchongo.
 
Ile hotuba wakati wa uzinduzi wa barabara ya Chunya makongorosi watu walikua wamekaa kimya wanasubiri kusikia jambo flani hivi yaani ukiwatazama sura zao utawaelewa.
 
Wabunge na madiwani wao wana kazi gani??
Mambo mengine ni kujichoresha na kupoteza muda tu.
Wandugu nawashangaa hawa wananchi wanaotembelewa na Raisi Samia siwasikii wakieleza kero zao wamesimama tu kama makatuni flani hivi,hawajielewi au wametishwa.View attachment 2316818
 
Back
Top Bottom