Ziara yangu ofisi za JamiiForums

Ziara yangu ofisi za JamiiForums

Hongera sana.

Ni jambo jema sana kuwa karibu na Taasisi za kizawa kama jamii forums.

Usiishie kufanya ziara tu kiongozi pia uwe msaada kwa Taasisi hizi ili ziweze kuendelea zaidi na kuiendeleza Tanzania kwa ujumla.

Ishauri serikali wazipatie ruzuku Taasisi za namna hii ili ziweze kusaidia serikali katika kuelimisha na kufikisha taarifa mbalimbali kwa jamii.
 
Mheshimiwa Dkt. Gwajima D asante Sana kwa uzalendo wako wa kuwa karibu na Sisi Watanzania kwenye huu mtandao, ingependeza hata Viongozi wengine wote Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Mawaziri wote wakajiunga na huu mtandao kwa majina yao kamili kama ulivyo fanya wewe na kuwa verified.

Wangekuwa wanapata taarifa nyingi na kuwarahisishia utendaji wao wa kazi kwa namna moja au nyingine. Kuliko wamenga'ang'ana na mitandao ya Wazungu tu.

Wakiutumia huu mtandao na wakawa wanatoa hoja na mijadala ya wazi wangekuwa wanapata maoni na taarifa zitakazowasaidia katika utendaji wao wa kazi.
 
Back
Top Bottom