Zidane: Ronaldo ni bora lakini hayupo kwenye level za Messi

SIPATI picha Ronaldo ndo angeshinda WC [emoji28] Tungehama dunia
 
Mimi kama shabiki wa Ronaldo niseme tu Kua Messi ndiye mchezaji Bora niliyewahi kumuona
 
Gareth Bale baada ya kusema Messi ni bora zaidi ya Ronaldo, basi mshkaji wenu Ronaldo akamu-unfollow Bake kule Instagram. Hapo ni aina flani ya kununa na kutikubaliana na mawazo ya Bale
Na wewe kwanini unatulazimisha tuamini Messi ni bora kuliko wote!? kila mtu abaki na mtazamo wake
 
Hii hua ni nadharia ya uongo huwezi cheza mpira kwa level ya Ronaldo kama huna talent, na huwezi cheza mpira level ya Messi kama huna mazoezi
 
"Watapata tabu sana"kamwe Messi hawezikuwa Ronaldo na Ronaldo hawezi kuwa Messi...
 
mkuu mwambie mangi akupe ambiance mbili unitumie lipa namba. umemaliza kila kitu!
 
Ronaldo kaachwa mbali na Messi hata kama Messi angekua hana WC bado Ronaldo ni mtoto kwa Messi.
Nyinyi mnatengeneza propaganda kumkuza mchezaji wenu, mpaka saizi hamjaweza kuja na source ya hiyo taarifa.

Mpaka hapo hamjaonesha mko serious zaidi ya kuchangamsha kijiwe.
 
Hilo jambo mara nyingi huwaga nawaambia watu tuacheni kila kitu hata kama namba ni tofauti wanazocheza ila MESSI ni balaa la dunia yule mwamba ni nongwa kamili
 
Mimi ni mshabiki wa Messi na pia Zidane. Lakini hii habari haina ukweli mkuu.

Ndo maana habari bila source huwa naona ni udaku tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…