Zifahamu njia zitumikazo kuwarudisha tena extinction animals kama dinasours na wengineo

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Nikiwa Rais wa Tanzania moja ya mradi wa life science ni kurudisha extinction animals waliopotea kama
  • Dinasours
  • woolly mammoth
  • Atlas bear
  • Many others
Hizo njia ni kama zifuatazo
  • DNA seguencing
  • Gene editing
  • Clonning
  • Mass breeding

Nikiwa Rais wa Tanzania moja ya mradi wa life science ni kurudisha extinction animals waliopotea kama
  • Dinasours
  • woolly mammoth
  • Atlas bear
Hizo njia ni kama zifuatazo
  • Seguencing
  • Gene editing
  • Clonning

View attachment 3364297
Mh. RAIS wetu ajaye mtarajiwa haya ni maono makubwa Sanaa Sanaa. RAIS tumechelewa Sanaa..tumelaliwa Sanaa
Mh. RAIS wetu ajaye mtarajiwa.. MTUKUFU MTARAJIWA RAIS Mimi naona ili maono yafanyike kwa haraka tufanye COUP D'TAT ili kwa haraka tufanye maendeleo haya sisi tupo nyuma yako wewe fanya kutoa KAULI yako vijana tupo tayar kuhakikisha unakua Raisi WETU.

Castle_Lite
dosho12
Monetary doctor
secretarybird
Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Half american
Shadow7
E.t.c
 
Muheshimiwa waziri wa Maliasili na utalii umemalza,

Paaa! Paaa! Paaa! Paaa!
 
Mh. RAIS wetu ajaye mtarajiwa haya ni maono makubwa Sanaa Sanaa. RAIS tumechelewa Sanaa..tumelaliwa Sanaa
Mh. RAIS wetu ajaye mtarajiwa.. MTUKUFU MTARAJIWA RAIS Mimi naona ili maono yafanyike kwa haraka tufanye COUP D'TAT ili kwa haraka tufanye maendeleo haya sisi tupo nyuma yako wewe fanya kutoa KAULI yako vijana tupo tayar kuhakikisha unakua Raisi WETU.

Castle_Lite
dosho12
Monetary doctor
secretarybird
Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Half american
Shadow7
E.t.c
Mkuu mimi nitakuwa Prince Johnson, wewe utakuwa Charles Taylor nadhani Samuel doe mnamfahamu.

Tunaenda kufanya mabalaa.
 
Mh. RAIS wetu ajaye mtarajiwa haya ni maono makubwa Sanaa Sanaa. RAIS tumechelewa Sanaa..tumelaliwa Sanaa
Mh. RAIS wetu ajaye mtarajiwa.. MTUKUFU MTARAJIWA RAIS Mimi naona ili maono yafanyike kwa haraka tufanye COUP D'TAT ili kwa haraka tufanye maendeleo haya sisi tupo nyuma yako wewe fanya kutoa KAULI yako vijana tupo tayar kuhakikisha unakua Raisi WETU.

Castle_Lite
dosho12
Monetary doctor
secretarybird
Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Half american
Shadow7
E.t.c
kurudisha jamii zilizotoweka hakuna msaada wowote kwa mwananchi wa kawaida
 
Hivi unajua Dinosaurs wengine walikuwa wanakula nyama mfano Tyrannosaurus rex and Velociraptor,; kwahio mkuu karne hii ambayo hata tunaona mamba wamezidi au wakulima wanalalamika hawana eneo kwamba waanze kupunguza mbuga..., jaribu kwanza kuburudika na Movie ya Jurassic Park kabla haujafika mbali zaidi na hili wazo lako...
 
Hizi ndo akili za mwafrika na hata viongozi wengi wanaakili kama hizi ndo maana hakuna uwekezaji wowote ule kwenye tafiti ndo maana tupo nyuma sana kwenye maendeleo na nyanja zote
NASEMA hiviii Tumekalia UCHUMI WETU...KILA NIKISIKILIZA MAONO YAKO NAWAHAKIKISHIA WATANGANYIKA WATEMBEE KIFUA MBELEE MAANA UNA MAONO MAKUBWAA.

SISI NI DONOR COUNTY.
 
Hivi unajua Dinosaurs wengine walikuwa wanakula nyama mfano Tyrannosaurus rex and Velociraptor,; kwahio mkuu karne hii ambayo hata tunaona mamba wamezidi au wakulima wanalalamika hawana eneo kwamba waanze kupunguza mbuga..., jaribu kwanza kuburudika na Movie ya Jurassic Park kabla haujafika mbali zaidi na hili wazo lako...
K

Back
Top Bottom