Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #41
Sikujibu na huna cha kunifanyaJibu hoja hao viumbe watasaidia nini kwenye jamii wa kirudishwa au una Amnesia bwashee?
Sikujibu na huna cha kunifanyaJibu hoja hao viumbe watasaidia nini kwenye jamii wa kirudishwa au una Amnesia bwashee?
Sihitaji kukufanya chochote , ila wewe unahitaji usaidizi wa kiakili kwanza kabla ya kuwa raisi wao🤔Sikujibu na huna cha kunifanya
Ndo akili zako zilipoishia ila sikulaumu tatizo ni mfumo wa elimu ambao ulikuaminisha huwezi fanya loloteIla PoMbE mbaya sana hasa ukilewea chumbani peke yako...
Mkuu umeuliza kwa uchungu sana 😂😂😂Utawarudisha ili iweje mheshimiwa?
Endelea kujifariji inarusiwaSihitaji kukufanya chochote , ila wewe unahitaji usaidizi wa kiakili kwanza kabla ya kuwa raisi wao🤔
Huyu wala sio pombe, watu wa pombe hawapo hivi labda visungura japo ana mada changamshi ila watu wakianza kuchangia tu akili zake zinakata kwa kukosa uvumilivu.Ila PoMbE mbaya sana hasa ukilewea chumbani peke yako...
Wewe wakutaka kuwa raisi ndio ujifariji , mimi nimeshakua ninavyotaka hapa nasubiri kufa tu.Endelea kujifariji inarusiwa
Wewe peke yako ndo unayelalamika mbona wengine hawalalamikaHuyu wala sio pombe, watu wa pombe hawapo hivi labda visungura japo ana mada changamshi ila watu wakianza kuchangia tu akili zake zinakata kwa kukosa uvumilivu.
Maswala ya kufa wewe inanihusu nini je kuna sehemu yeyote nimeongelea juu ya wewe kufaWewe wakutaka kuwa raisi ndio ujifariji , mimi nimeshakua ninavyotaka hapa nasubiri kufa tu.
Hakuna anayejua exactly vilipoteajeVilipotea kwa sababu ya mabadiliko ya tabia ya nchi vingi vilikuwa Africa kabla ya watu kuenea Dunia kutokea Iraqi ambapo ndio asili ya mwanadamu.
Enzi hizo Africa wanaishi viumbe hao tu
Wapi nimelalamika ? Kwetu Sisi madaktari wa vichaa hata kuchati na mgonjwa tu ni sehemu ya tiba.Wewe peke yako ndo unayelalamika mbona wengine hawalalamika
Na unachangaije nyuzi za mtu unayemtuhumu ni kichaa serious basi utakuwa ni kichaa Pro max
Hakuna Taifa / Jamii itakayokuruhusu kufanya jambo kama hilo; kuna vitu ambavyo ni more advantageous na vina mashiko zaidi lakini kutokana na kuwa sensitive subjects yanashindwa kufanywa kwa urahisi, mfanoK
![]()
Ntaanzisha jurasic park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia
Nikiwa Rais wa Tanzania ntaanzisha jurassic Park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia na inatakiwa iwe kisiwa cha mafia ili turbosaurus, t-rex na wengineo wasidhuru watu Jambo la kufahamu jurassic Park ilikuwepo Tanzania ndo maana kuligundulika mabaki ya mifupa ya dinasours kipindi cha ukoloni wa...www.jamiiforums.com
Vilikuwa hatari kwa wanadamu ilikuwa vitoweke kwanza ili watu waweze kuwepoHakuna anayejua exactly vilipoteaje
Umeanza kupata tatizo la wewe mgonjwa kuona daktari wako ana tatizo kama lako ambayo kitaalamu inaitwa Paranoid delusionsMaswala ya kufa wewe inanihusu nini je kuna sehemu yeyote nimeongelea juu ya wewe kufa
Unashida kubwa sana ya akili
Wizara ya Fedha na mipango the best to i 😂 TRA, HAZINA, GAWIO BOT, plus source zote za kipato zipite mkononi mwanguChukua wizaraa
Mimi ntamshawishi muheshimiwa Raisi mtarajiwa Jambo upewe WIZARA YA NISHATI NA MADINI.
AMA TUKUPE WIZARA YA MAMBO YA NJE.