Zifahamu njia zitumikazo kuwarudisha tena extinction animals kama dinasours na wengineo

Raisi wa viazi unachamba kama hadija kopa , fuga hata kuku uwe bize bwashee
Fungua bendi ya taarabu sababu inaonekana unajua sana mipasho alafu ni mwanaume

Swali umelazimishwa kuchangia jibu ni hapana na inaonekana una wivu, husuda na roho mbaya humo

Unaangaika na mimi ilihali sina mda na wewe mbona nyuzi zangu hazikuhusu
 
Fungua bendi ya taarabu sababu inaonekana unajua sana mipasho alafu ni mwanaume
Umeambiwa toa faida za kuwarudisha hao viumbe unapandisha sukari , unafikiri hizi mambo ndio mara ya kwanza kuzisikia kutoka kwako ? Yani unakaa zako huko kishumundu unaaamini kabisa una madini kichwani ? Wewe ni mgonjwa na mimi nipo hapa kukusanua wala sina nia mbaya na sikujui na haunijui gademiiit.
 
Sio lazima uchangie uzi mbona unateseka kama unaona nacho post ni ujinga potezea nyuzi zangu sihitaji mawazo yako
 
Sijasema ni ujinga nyuzi zako ni nzuri tu na sitaacha kuchangia labda uni block, ila ukibanwa na maswali unaanza vijembe na kupandisha sukari bila kujibu kwa hoja ,ndio maana leo hii nakusaidia kukusanua, hili ndio linafanya wewe uonekane hamnazo humu na sio vinginevyo.
 
Wewe ndo unaporomosha matusi alafu unasema unajua unamatatizo ya akili sana

Tafuta sehemu yeyote ambayo nimetukana au kudhihaki mtu
 
Sijasema ni ujinga nyuzi zako ni nzuri tu na sitaacha kuchangia labda uni block, ila ukibanwa na maswali unaanza vijembe na kupandisha sukari bila kujibu kwa hoja ,ndio maana leo hii nakusaidia kukusanua, hili ndio linafanya wewe uonekane hamnazo humu na sio vinginevyo.
Najua unaumia navyoopost nakuahidi ntaendelea kupost ili uumie zaidi
 
Umeambiwa toa faida za kuwarudisha hao viumbe unapandisha sukari , unafikiri hizi mambo ndio mara ya kwanza kuzisikia kutoka kwako ? Yani unakaa zako huko kishumundu unaaamini kabisa una madini kichwani ? Wewe ni mgonjwa na mimi nipo hapa kukusanua wala sina nia mbaya na sikujui na haunijui gademiiit.
Ebu soma kwa umakini hapana uone jinsi unavyoumia

Nikuambie kitu mimi nina madini ndio na nina akili wala sioni aibu kusema hili na bado nyuzi nyingi zinakuja ili uumie zaidi
 
Ulichokiandika tena ndio kinakufanya uonekane mgonjwa kabisa , yani mimi niumie kisa wewe kuandika ? Unafurahisha sana ujue
 
Wekezeni basi kwenye mambo mnayoona ya msingi hola yaani kila jambo hatuwezi tunaweza nini miundombinu mibovu, umaskini kila kona

Kila ukipeleka wazo jibu ni linafaida gani kwa wananchi
Hatuwezi, hatuna hela.

Wewe sasa kama rais itabidi uunde mikakati ya kuboresha hiyo miundombinu mibovu sio kurudisha dinosaurs.

Dinosaurs watasaidia nini wananchi?

Wekeza kwanza kwenye misingi.

Tutarudisha dinosaurs bila geneticists? Tunapataje geneticists wa viwango bila elimu bora? Anza na elimu kwasababu ni msingi.
 
Utaambiwa una wivu na yeye ana akili nyingi
 
Hatuwezi, hatuna hela.

Wewe sasa kama rais itabidi uunde mikakati ya kuboresha hiyo miundombinu mibovu sio kurudisha dinosaurs.

Dinosaurs watasaidia nini wananchi?

Wekeza kwanza kwenye misingi.

Tutarudisha dinosaurs bila geneticists? Tunapataje geneticists wa viwango bila elimu bora? Anza na elimu kwasababu ni msingi.
Huu uzi unahusu miundombinu
 
Back
Top Bottom