Achana naye huyo, kiufupi focus na vision uliyonayo. Binafsi nakuunga mkono kwenye suala Zima la tafiti mbalimbali maana bila tafiti hakuna maendeleo ya aina yoyote tutakayoyapata. Bila tafiti tutakuwa tunaenda mbele hatua 2 tunarudi nyuma hatua 3.Maswala ya kufa wewe inanihusu nini je kuna sehemu yeyote nimeongelea juu ya wewe kufa
Unashida kubwa sana ya akili
By the way, Mimi kama mwananchi wa kawaida nakusapoti kuendelea na mipango uliyonayo.
Mheshimiwa usisahau kuja na Mpango mkakati wa kuimarisha sarafu ya Tanzania dhidi ya dollar ya Marekani, na ikiwezekana tuishushe dollar ya Marekani dhidi ya shilingi ya Tanzania, najua hili linahitaji strategies ambazo naamini ukiwa Rais wa JMT utalifanikisha.