Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Mh. RAIS wetu ajaye mtarajiwa haya ni maono makubwa Sanaa Sanaa. RAIS tumechelewa Sanaa..tumelaliwa SanaaNikiwa Rais wa Tanzania moja ya mradi wa life science ni kurudisha extinction animals waliopotea kama
Hizo njia ni kama zifuatazo
- Dinasours
- woolly mammoth
- Atlas bear
- Seguencing
- Gene editing
- Clonning
View attachment 3364297
Muheshimiwa waziri wa Maliasili na utalii umemalza,Mh. RAIS wetu ajaye mtarajiwa haya ni maono makubwa Sanaa Sanaa. RAIS tumechelewa Sanaa..tumelaliwa Sanaa
Mh. RAIS wetu ajaye mtarajiwa.. MTUKUFU MTARAJIWA RAIS Mimi naona ili maono yafanyike kwa haraka tufanye COUP D'TAT ili kwa haraka tufanye maendeleo haya sisi tupo nyuma yako wewe fanya kutoa KAULI yako vijana tupo tayar kuhakikisha unakua Raisi WETU.
Castle_Lite
dosho12
Monetary doctor
secretarybird
Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Half american
Shadow7
E.t.c
Mkuu mimi nitakuwa Prince Johnson, wewe utakuwa Charles Taylor nadhani Samuel doe mnamfahamu.Mh. RAIS wetu ajaye mtarajiwa haya ni maono makubwa Sanaa Sanaa. RAIS tumechelewa Sanaa..tumelaliwa Sanaa
Mh. RAIS wetu ajaye mtarajiwa.. MTUKUFU MTARAJIWA RAIS Mimi naona ili maono yafanyike kwa haraka tufanye COUP D'TAT ili kwa haraka tufanye maendeleo haya sisi tupo nyuma yako wewe fanya kutoa KAULI yako vijana tupo tayar kuhakikisha unakua Raisi WETU.
Castle_Lite
dosho12
Monetary doctor
secretarybird
Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Half american
Shadow7
E.t.c
Chukua wizaraaMuheshimiwa waziri wa Maliasili na utalii umemalza,
Paaa! Paaa! Paaa! Paaa!
kurudisha jamii zilizotoweka hakuna msaada wowote kwa mwananchi wa kawaidaMh. RAIS wetu ajaye mtarajiwa haya ni maono makubwa Sanaa Sanaa. RAIS tumechelewa Sanaa..tumelaliwa Sanaa
Mh. RAIS wetu ajaye mtarajiwa.. MTUKUFU MTARAJIWA RAIS Mimi naona ili maono yafanyike kwa haraka tufanye COUP D'TAT ili kwa haraka tufanye maendeleo haya sisi tupo nyuma yako wewe fanya kutoa KAULI yako vijana tupo tayar kuhakikisha unakua Raisi WETU.
Castle_Lite
dosho12
Monetary doctor
secretarybird
Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Half american
Shadow7
E.t.c
Mkuu tukupe WIZARA gani ili uwasaidie wananchi wa kawaida tahadhari Sanaa chukua wizaraa moja uiendesheekurudisha jamii zilizotoweka hakuna msaada wowote kwa mwananchi wa kawaida
Kwani kwa uelewa wako unadhani tafiti zina faida gani na watu wanaweka billions of moneyWatakuwa na faida na tija gani?
Hizi ndo akili za mwafrika na hata viongozi wengi wanaakili kama hizi ndo maana hakuna uwekezaji wowote ule kwenye tafiti ndo maana tupo nyuma sana kwenye maendeleo na nyanja zotekurudisha jamii zilizotoweka hakuna msaada wowote kwa mwananchi wa kawaida
Tupo tayari muda wowote ule 😎😎sisi tupo nyuma yako wewe fanya kutoa KAULI yako vijana tupo tayar kuhakikisha unakua Raisi WETU.
Wekezeni basi kwenye mambo mnayoona ya msingi hola yaani kila jambo hatuwezi tunaweza nini miundombinu mibovu, umaskini kila konakurudisha jamii zilizotoweka hakuna msaada wowote kwa mwananchi wa kawaida
Tunataka KAULI ya RAIS wetu full stop.Tupo tayari muda wowote ule 😎😎
NASEMA hiviii Tumekalia UCHUMI WETU...KILA NIKISIKILIZA MAONO YAKO NAWAHAKIKISHIA WATANGANYIKA WATEMBEE KIFUA MBELEE MAANA UNA MAONO MAKUBWAA.Hizi ndo akili za mwafrika na hata viongozi wengi wanaakili kama hizi ndo maana hakuna uwekezaji wowote ule kwenye tafiti ndo maana tupo nyuma sana kwenye maendeleo na nyanja zote
KHivi unajua Dinosaurs wengine walikuwa wanakula nyama mfano Tyrannosaurus rex and Velociraptor,; kwahio mkuu karne hii ambayo hata tunaona mamba wamezidi au wakulima wanalalamika hawana eneo kwamba waanze kupunguza mbuga..., jaribu kwanza kuburudika na Movie ya Jurassic Park kabla haujafika mbali zaidi na hili wazo lako...
Hivi unajua Dinosaurs wengine walikuwa wanakula nyama mfano Tyrannosaurus rex and Velociraptor,; kwahio mkuu karne hii ambayo hata tunaona mamba wamezidi au wakulima wanalalamika hawana eneo kwamba waanze kupunguza mbuga..., jaribu kwanza kuburudika na Movie ya Jurassic Park kabla haujafika mbali zaidi na hili wazo lako...