Zifahamu njia zitumikazo kuwarudisha tena extinction animals kama dinasours na wengineo

Ila PoMbE mbaya sana hasa ukilewea chumbani peke yako...
Huyu wala sio pombe, watu wa pombe hawapo hivi labda visungura japo ana mada changamshi ila watu wakianza kuchangia tu akili zake zinakata kwa kukosa uvumilivu.
 
Vilipotea kwa sababu ya mabadiliko ya tabia ya nchi vingi vilikuwa Africa kabla ya watu kuenea Dunia kutokea Iraqi ambapo ndio asili ya mwanadamu.
Enzi hizo Africa wanaishi viumbe hao tu
 
Huyu wala sio pombe, watu wa pombe hawapo hivi labda visungura japo ana mada changamshi ila watu wakianza kuchangia tu akili zake zinakata kwa kukosa uvumilivu.
Wewe peke yako ndo unayelalamika mbona wengine hawalalamika

Na unachangaije nyuzi za mtu unayemtuhumu ni kichaa serious basi utakuwa ni kichaa Pro max
 
Wewe peke yako ndo unayelalamika mbona wengine hawalalamika

Na unachangaije nyuzi za mtu unayemtuhumu ni kichaa serious basi utakuwa ni kichaa Pro max
Wapi nimelalamika ? Kwetu Sisi madaktari wa vichaa hata kuchati na mgonjwa tu ni sehemu ya tiba.
 
Hakuna Taifa / Jamii itakayokuruhusu kufanya jambo kama hilo; kuna vitu ambavyo ni more advantageous na vina mashiko zaidi lakini kutokana na kuwa sensitive subjects yanashindwa kufanywa kwa urahisi, mfano
  • cloning
  • stem cell
  • GMO
  • Bacterial Manipulations (Biotechnology & Bioengineering)
Kwahio mkuu hata kabla haujafika hatua B kupata tu vibali vya kufanya such a project will meet with heavy criticism kutoka Bungeni na watu wa Dini
 
Hata wanadamu wa mwanzo walikuwa ni magiant kama kina Goliath na sio sasa miili ya njaa.
Zamani kijijini mtu anatandikwa rungu la kichwani kwenye Muziki wakigombea vitobo na still mtu anainuka anadudunda tu jaribu Leo ngumi moja tu mochwari.
 
Maswala ya kufa wewe inanihusu nini je kuna sehemu yeyote nimeongelea juu ya wewe kufa

Unashida kubwa sana ya akili
Umeanza kupata tatizo la wewe mgonjwa kuona daktari wako ana tatizo kama lako ambayo kitaalamu inaitwa Paranoid delusions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…