Achana naye huyo, kiufupi focus na vision uliyonayo. Binafsi nakuunga mkono kwenye suala Zima la tafiti mbalimbali maana bila tafiti hakuna maendeleo ya aina yoyote tutakayoyapata. Bila tafiti tutakuwa tunaenda mbele hatua 2 tunarudi nyuma hatua 3.Maswala ya kufa wewe inanihusu nini je kuna sehemu yeyote nimeongelea juu ya wewe kufa
Unashida kubwa sana ya akili
Wewe tutakuweka BOT wewe kijana msomi.Wizara ya Fedha na mipango the best to i 😂 TRA, HAZINA, GAWIO BOT, plus source zote za kipato zipite mkononi mwangu
Kuna huyu mwana FINANCE na ECONOMICIAN ndugu yetu Monetary doctor atamsaidia Sana MH. RAIS wetu ajaye mtarajiwa.Achana naye huyo, kiufupi focus na vision uliyonayo. Binafsi nakuunga mkono kwenye suala Zima la tafiti mbalimbali maana bila tafiti hakuna maendeleo ya aina yoyote tutakayoyapata. Bila tafiti tutakuwa tunaenda mbele hatua 2 tunarudi nyuma hatua 3.
By the way, Mimi kama mwananchi wa kawaida nakusapoti kuendelea na mipango uliyonayo.
Mheshimiwa usisahau kuja na Mpango mkakati wa kuimarisha sarafu ya Tanzania dhidi ya dollar ya Marekani, na ikiwezekana tuishushe dollar ya Marekani dhidi ya shilingi ya Tanzania, najua hili linahitaji strategies ambazo naamini ukiwa Rais wa JMT utalifanikisha.
Hahahaha siwezi kukuangusha naahidi kujifunza, kufanya kazi kwa bidii Mungu nisaidieWewe tutakuweka BOT wewe kijana msomi.
Angalizo usituangushe kama daudi balali...
Hahahaha 😂Kuna huyu mwana FINANCE na ECONOMICIAN ndugu yetu Monetary doctor atamsaidia Sana MH. RAIS wetu ajaye mtarajiwa.
Haya mambo niweke wazi Wana Jf watamuelewa polepole sisi tuna Imani na tunamwelewa RAIS wetu ajaye.
#Roberts ulipo tupo
#mbeba maono/mtu wa watu
#Raisi wa moyo wa watanganyika
# mwamba tuvushe Roberts shughuri
Unajua hao kwa ukubwa wao wanakula nyama kilo ngapi ? Au utaanza kuwapelekea maiti ili waweze kula na kushiba ? Yaani hata nyama tu ya kututosha sisi Omnivores haitoshi unataka kuleta viumbe vinavyoteketeza tani kadhaa za nyama ????K
Ntaanzisha jurasic park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia
Nikiwa Rais wa Tanzania ntaanzisha jurassic Park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia na inatakiwa iwe kisiwa cha mafia ili turbosaurus, t-rex na wengineo wasidhuru watu Jambo la kufahamu jurassic Park ilikuwepo Tanzania ndo maana kuligundulika mabaki ya mifupa ya dinasours kipindi cha ukoloni wa...www.jamiiforums.com
Raisi wetu ni msikivu/muungwana Sanaa 😊 amekusikia nafasi YAKO ipoooHahahaha siwezi kukuangusha naahidi kujifunza, kufanya kazi kwa bidii Mungu nisaidie
Kuwalisha hakuwezi kuwa kazi ngumu kama kuwarudisha ambapo ndo kazi ngumuUnajua hao kwa ukubwa wao wanakula nyama kilo ngapi ? Au utaanza kuwapelekea maiti ili waweze kula na kushiba ? Yaani hata nyama tu ya kututosha sisi Omnivores haitoshi unataka kuleta viumbe vinavyoteketeza tani kadhaa za nyama ????
Ecosystem; Energy Pyramid (Things as they are right now haiwezekani hao viumbe kuweza survive sustainably na viumbe wengine waliopo) inabidi wao ndio watufanye sisi kama mifugo yao watunenepeshe ile waweze kututafuna...Kuwalisha hakuwezi kuwa kazi ngumu kama kuwarudisha ambapo ndo kazi ngumu
Huo ni kwa Mtizamo wako ila inawezekana vizuri tu wakaishi kipindi hikiEcosystem; Energy Pyramid (Things as they are right now haiwezekani hao viumbe kuweza survive sustainably na viumbe wengine waliopo) inabidi wao ndio watufanye sisi kama mifugo yao watunenepeshe ile waweze kututafuna...
View attachment 3364573
DNA gani inaweza dumu kwa zaidi ya 66M yearsNikiwa Rais wa Tanzania moja ya mradi wa life science ni kurudisha extinction animals waliopotea kama
Hizo njia ni kama zifuatazo
- Dinasours
- woolly mammoth
- Atlas bear
- Many others
- DNA seguencing
- Gene editing
- Clonning
- Mass breeding
View attachment 3364297
Mbona haujibu hili swali muheshimiwa?Utawarudisha ili iweje mheshimiwa?
Nashukuru kwa majibu yako. Tafiti zina faida, lakini nyingi huwa na lengo mahsusi kama kuboresha afya, kutunza mazingira au kukuza uchumi.Kwani kwa uelewa wako unadhani tafiti zina faida gani na watu wanaweka billions of money