Zifuatazo ni Simu zinazoweza Kukutambulisha Wewe ni mtu wa aina gani

Ni kweli.
Ila unanunua simu kwa mahitaji gani?
Unanunua simu ya milion 3 kisa perfomarnce ya kuangalia video tiktok na kusoma umbea kwenye mitandao ya kijamii halafu ndani kwako hauna laptop na una tv nchi 24. Sabufa yenyewe una aborder ya 70k.
Kwanini unavaa t shirt ya elf 20 unaacha za Karume za elf 3?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila wametuchamba watumiaji wa iPhone km kawaida yao

Tushazoea vichambo vyao vya wivu [emoji1787][emoji1787] watafute hela wanunue simu nzuri
 
Taja simu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…