Zifuatazo ni Simu zinazoweza Kukutambulisha Wewe ni mtu wa aina gani

Zifuatazo ni Simu zinazoweza Kukutambulisha Wewe ni mtu wa aina gani

Wala siyo ubahili,ninamfahamu jamaa anamiliki yard ya magari anatumia Tecno wala hana habari.

Huko kushindana kununua simu za gharama kubwa wakati mwengine mtu anaishia kutumia apps zile zile anazotumia mwenye Tecno huwa ni dalili za ugonjwa.
Sure sometime mtu ananunua simu kulingana na matumizi mfano mtu ni bank signatory inabidi ainstall bank apps kwenye simu, anatumia sana applications kama teams, outlook na nyingi za kazi zaidi na hapend kuwa na simu ya ofisi sasa huyu atalazimika kununua iphone/samsung maana ndo simu salama na zinazokubali apps nilizotaja hapo juu kufanya kazi vizuri na zina security features nzuri na pia utakuta mwajiri ndo anarecommend hizo kwenye policies zake.

Mtu mwingine simu yake mostly ni kupiga picha, kuongea mfano mafundi iwe ujenzi, magari n.k kwa nini mtu huyu asinunue tecno au infinix

Lakini kingine mtu hela yake anaipangia matumizi mwenyewe, ndo maana utakuta mtu ana simu ya milion 2-4 na hana akiba!

Lakini pia sometime position ya mtu pia we unafanya kazi kwenye senior position tena reputable organisation halaf unakuwa na simu inaitwa bundy, itel, bontel aisee kama ni let say mtu wa marketing, credit utaambiwa hapana unaaibisha brand
 
Wana system yao mpya [emoji91] inaitwa Xiaomi HyperOS
Hizi simu za sasa za mchina Redmi/Xiamo,OPPO,vivo na Huawei zina utofauti flan mkuu.
Hata OPPO wana system yao ya color OS imeleta utofauti katika simu.
Hasa ukitumia OPPO reno ndio utazifurahia zaidi.
 
Nilitumia Iphone na iPad ya Apple nilishindwa nilipo sahau Apple ID na Passcode nili change mwanangu akaingiza old one ikaji block fundi akaniambia ku flash napoteza kila kitu nikachukia.
Samsung nilikuwa nao nawakubali toka Galaxy S 1 Galaxy Note Galaxy J kilicho nishinda ni vioo ghali na kauzembe kakuvunja vioo Kwa nature ya kazi yangu.

Nikatulia Kwa Tecno kidogo nikaja Kwa Infinix Note nikivunja kioo na replace kioo fasta tena namba 1 pia na Pixel ndo natumia kwasasa kwaajiri ya picha.

Pia na dogo wangu nataka niongee nae anietee Iphone 15 kwaajiri ya picha za biashara zangu nguo na biryani iphone bora Kwa kioo gharama nafuu kuliko Samsung 🙌
 
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako

1:IPHONE-watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa Mwanaume anaonekan TAPELI

2.SAMSUNG-Watu wenye hela. kwa Mwanamke anaonekan ANAJIELEWA, Mwanaume anaonekan ANAJIWEZA

3. TECNO, INFINIX na ITEL-Watu wasio jua Simu na Wanapenda Vya Bei rahisi. Pia ni wafata mkumbo. kwa Mwanamke Anaonekan AMETULIA Hana Mambo mengi, Kwa Mwanaume anaonekana BAHILI

4:REDMI, XIAOM, OPPO na VIVO-Watu wanaopenda sifa. kwa Mwanamke anaonekana MCHAPAKAZI, Mwanaume anaonekan MBABE

5.GOOGLE PIXEL-Watu wanaoojua simu. Kwa mwanamke Anaonekan Mvumilivu, kwa Mwanaume anaoneka mtu mwenye MSIMAMAMO

Mwisho
Bila kuhasahau Watumiaji Wa Tekno na infinix Wanaongoza kusindikizana Dukan kwenda Kununua simu zao pendwa, Hii Tabia kwao kama Sheria.
Mshamba tu wewe.
 
2.SAMSUNG-Watu wenye hela. kwa Mwanamke anaonekan ANAJIELEWA, Mwanaume anaonekan ANAJIWEZA
Nikiangalia hii note 10plus nimeharibu display… bei ya kubadilisha sasa aah😂😂😂

najuta kununua samsung… Nimerudia ka iphone 6s kangu kwa sasa,,,,
 
android version Yake ngapi. maana now tupo version ya 14. sizani kama umefika uko
tuoneshe na yako,
just for fun.
Screenshot_20240606-160518.jpg
 
Back
Top Bottom