Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Wale wenye rangi ya Mtume na Sharkani hata mimi nashangaa kila nyumba lazima ukute mtoto mwenye mtindio wa Ubongo au Bibi au Babu.

Hii sio co- incidence
😂😂😂nimekaa nao watatu Wana watoto wazuri wa kwanza ila machizi mmoja ni ticha wetu alikuwa anaitwa pallangyo alikuwa na bar mwanae wa kwanza ni zombie.

Wengine wawili mmoj nao ivyo ivyo Wana watoto wa kwanza mazombie
 
Baharini si ndipo penye kina kirefu?

Afu roho chafu inakufa kufaje nakati tayari ina connection na roho ya shetani (immortal creature)?

Hapa kuna washamba utawadaka PM ili wanase kwenye hiyo no. 3 japo ni uwongo per 100%

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mie personally hata mtu aje na magoti siwez kuonyesha hii Siri ,
Hii inaundwa vizuri tu Ila unaitaji kuinua essence ya Kundalini mpaka kwa kifua atleast , Ila shida vijana wengi ni waoga na hawajui kutunza Siri .
Hii elimu nilipewa na mtu kitambo Sana sehemu moja chipu huko .
Sema Nina Mali Sina muda wakufanya haya mambo siku hizi
 
Kuna moja wanatumia kule msumbiji unapewa kijiti unakiweka kwenye mfuko wa kushoto wa shati au suruali kazi yako kila siku uwe unagonga demu mmoja mpya(note: usirudie kufanya mapenzi na mwanamke mmoja) kadiri unavyofanya mapenzi na wanawake wapya kila siku ndivyo utajiri wako unavyokuwa na kuimarika.. hii dunia ni jehanamu sometimess
Huu umetulia
 
Weka shuhuda mezani tujifunze
mmoja alikuwa anakuja ofisini kwangu na kuniomba tufanye biashara kwa kumsaidia ikiwezekana twende wote China(hapa naongelea kijana mdogo yuko below 35). sikumkubalia wala kumkatalia japo kwenye nafsi yangu sikuwa na amani na biashara inawezekana uwoga wangu ndio umaskini wangu lakini nilikuwa nawaza mtu akuchukue toka hapa mpaka China akugharamie kila kitu ukibebeshwa Unga utamlaumu nani?

kadri nilivyomzoea alizidi kuniambia mambo mengi na akasema katika wafanya biashara 100 wanaomtegemea MUNGU labda wawili na muda huo kaja akiwa na chale mbichi akanionyesha na alikuwa na biashara kubwa kwa kweli.
hazikupita siku nyingi sana labda miaka miwili akafirisika kabisa na hapa mjini hayupo kila kitu chake kikapotea na kuuzwa na benki.
Huyu wa pili ni kazi kueleza story yake hapa wengi wanamjua lakini hali ni mbaya sana kwake kwa sasa kuanzia uchumi mpaka afya yake anateseka sana kwa kweli nikikupa namba umtume 40,000/- atakushukuru sana kuzidi baba yako huyu namzungumzia mtu aliyekuwa na wafanyakazi zaidi ya 300 akiwalipa kati ya dola 6000 na kiasi cha chini 200,000/- kwa mwezi.
 
Kwa uoga huu sidhani km naweza kujaribu
Pesa ina code nyingi sana halafu kuna code nyingine sio hata za uchawi wala ushirikina , Komaa aiseee tengeneza connections ukiwa na mawazo yenye kujenga ipo siku pesa itakuja tu. Tumesubiri ajira toka awamu ya nne, tano na hii ya sita mambo magumu... Do what is right as long as You chase for the money. 🤣 🤣
 
Pesa ina code nyingi sana halafu kuna code nyingine sio hata za uchawi wala ushirikina , Komaa aiseee tengeneza connections ukiwa na mawazo yenye kujenga ipo siku pesa itakuja tu. Tumesubiri ajira toka awamu ya nne, tano na hii ya sita mambo magumu... Do what is right as long as You chase for the money. 🤣 🤣
Sawa mkuu ngoja nipambane kihalali.
 
Utajiri WA funza. Unakufa siku saba maiti Yako itaharibika vibaya funza kibao. Inakulazimu uwe na mke na lazima awe na roho mbaya Tena ya kutisha. Yeye ndie atakae fanya kazi ya kukusanya hao funza na kuwatunza vizuri kwenye viroba vyeupe. Wakati shuguli hiyo ikiendelea wanaopaswa kujua mchezo huo ni watu watatu tu. MGANGA MKEO NA WEWE. Lakini wewe ndio umekufa siku ya saba ikifika mchana WA saa saba MKEO atamwagia maiti Yako maji ya uvuguvugu yalio changanywa na chumvi ya mawe. Utafufuka na punde utaanza kutajwa kama bilionea mdogo anaechipukia Africa ya mashariki.
 
Back
Top Bottom