Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

kiukweli wengi huishia pabaya sana ninazo shuhuda kama mbili za watu wangu wa karibu hali zao ni mbaya sana.
tujitahidi kufanya kazi kwa bidii tutakapofikia ndio hapohapo japo kiukweli bado hatujatumia uwezo tulionao hata kwa 7%.
 
Kuna x wangu mmoja yeye nahisi anatumia utajiri wa hivyo,anamiliki mabasii ya mkoani jaman ,ila ukiambiwa huyu ndio anahayo magari unakataa Kwanza ni mdogo kwa maisha ya bongo umri ule kumiliki magar ya mkoa,afu yuko rafu,siyo mchafu ila hajui kupangilia kiasi kwamba ukionyeshwa ndio mmliki wa hayo magari lazima kengele kichwan zilie,afu kayapata gaflaa tu,ila siyo mchoyo ukimuomba hela ila sasa anatoa hela saa 12 jioni tu,tofauti na mda huo hakupi
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Muda ni wa kuzingatia hapo nimecheka
 
Kuna Uzi unasema atheist Wana matatizo ya akili, huamini mungu huamini pia ibilisi
Mkuu,

Unaelewa kuwa, hata kama hoja yako ni kweli, kwamba atheists wana matatizo ya akili, hayo matatizo ya akili nayo yatakuwa ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?

Unaelewa kwamba ulimwengu ulioumbwa na Mungu huyo, kimantiki, hauna ugonjwa wa akili wala ugonjwa mwingine wowote ule?

Hujanijibu maswali yangu kuhusu uchawi.

1. Uchawi ni nini?

2. Unajuaje huu ni uchawi na si kitu kingine tu ambacho hukielewi?
 
kiukweli wengi huishia pabaya sana ninazo shuhuda kama mbili za watu wangu wa karibu hali zao ni mbaya sana.
tujitahidi kufanya kazi kwa bidii tutakapofikia ndio hapohapo japo kiukweli bado hatujatumia uwezo tulionao hata kwa 7%.
Weka shuhuda mezani tujifunze
 
Mkuu,

Unaelewa kuwa, hata kama hoja yako ni kweli, kwamba atheists wana matatizo ya akili, hayo matatizo ya akili nayo yatakuwa ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?

Unaelewa kwamba ulimwengu ulioumbwa na Mungu huyo, kimantiki, hauna ugonjwa wa akili wala ugonjwa mwingine wowote ule?

Hujanijibu maswali yangu kuhusu uchawi.

1. Uchawi ni nini?

2. Unajuaje huu ni uchawi na si kitu kingine tu ambacho hukielewi?
Ngoja naandaa facts kujibu maswali yako
 
1: Uchawi ni nguvu inayotumiwa na watu wenye maarifa maalum yasiyo ya kisayansi.

2:utajua huu ni uchawi endapo utaona kitu Cha kawaida ambacho ki ubinadamu hakiwezi kutendeka. Mfano ukapigwa makofi na mtu ambaye humuoni wewe utahisi nn
 
Back
Top Bottom