Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

usihadaike na wanzungu ndg yangu kwa kudhani hawajihusishi na haya mambo.

wazungu wana- practice sana masuala ya witchcraft(wao wanapenda kuuita magic) ila kwa namna tofauti na sisi. hawajihusishi na uchawi wa kimasikini wa vitu kama chuma ulete, sijui kutembea na kinyoka mfukoni au kufuga ndondocha.

tayari walishafanya tafiti zamani sana zinazohusu nguvu iliyopo kwenye uchawi, halafu knowledge waliyopata wakaitengenezea mfumo maalum na masharti magumu ili isiwe rahisi kwa kila mtu kuipata.

pia wametengeneza madaraja(degree) za knowledge ya uchawi. kwa mfano ktk freemason, degree ya juu kabisa ni 33 degree.

inasemekana mwenye degree hii anakuwa na nguvu kubwa sana ktk ulimwengu wa kimason na pia anakuwa na knowledge kubwa inayohusu siri mbalimbali za ulimwengu huu.
 
Asante Kwa maarifa hapa nimekuelewa yaaani.....
unathibitisha
ULIMBOMBO NA ULINDI is equal to Fire ( MOTO) 🔥🔥
 
Kuna jambo moja watu hawajui.

Sio Kila mwenye nyota ya utajiri ni tajiri. Unaweza ukawa na nyota ya utajiri na ukashindwa kufungua code ukaendelea kuwa masikini.

Ndiyo hapa wanaoibuka watu waona unanyota nzuri ila umekaa kiboya wanapita nayo.

Pia, inabidi uwe makini na wataalamu unaoenda kwao.
 

cheki PM yako
 
 
"Essence ya Kun dalini" Huyo Kun dalini unayemzungumzia ni yule wa wasafi mwenye undugu na mondi?
 
Unakuta mtu anaanzisha taasisi au biashara baada ya muda utasikia ajari imepita na watu kadhaa😀😀
Kuna kituo kimoja cha tv ajali iliua watano tena wote vijana...tena wote wa Kiume...tena wote hakuna aliyekuwa na zaidi ya miaka 40...... Inawezekana ni bahati mbaya lakini.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…