Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Mje nataka huo utajariri wa pumbu kutokufanya kazi....utanisaidia sana.
Wapi napata huu utajiri? Yaani nitawapa na kibamia chote wachukue.
 
Kafara ya damu
jambo jingine nilikuwa nawaza mfano hawa matajir level ya kidunia akin elon musk, kwamba kama na wao ni freemasons , kwahiyo zile great ideas zao nan anawapa😂, au ndio ivo kwamba ukishakuwa na great ideas za ku ifluence watu, ndio Freemason wanakujia ili ujiunge nao? , maana asilimia kubwa ya mabilionea wakubwa duniani wanahusishwa na iman hizo, na kama ki kweli ina maan wanatoa kafara kuliko hawa wadogo😂, naomba mawazo mkuu?
 
Kina Elon musk hawa wanaitwa transformers yaani wanatumika kama madaraja ya kuhamisha technology au idea kutoka outer worlds ulimwengu usionekana na kuzileta ktk ulimwengu huu ili kusolve problem fulani.
Wanapata kupitia ndoto toka kwa Mungu au shetani
 
duu kwahiyo hizo transformations zinawafanya kuwa mabilionea?, vipi akina nikola tesla, albert eisteen, ?
Mkuu unahis elon anatumia uchawi?
 
Bufa mdukuzi Stuxnet
 
Mkuu ivi unaamini kweli kuna mali au utajiri wa halali?, au anaweza akatafuta kwa njia halali bila kujihusisha na hayo mambo?
Upo mzee kuna watu waanzia mbali sana kutafuta pesa ila sahizi kuna msemo unasema kutafuta pesa sio kazi ila kazi kuitunza hio pesa na hapo ndo mtu unaingia kwenye mtego wa shetani mara mazindiko mara majini nk
 
Ninavosikia freemasons wanaangalia talanta uliyonayo pia
 
Hapa ongeza nyama nyama kidogo mkuu
 

Watanzania wote wangekuwa matajiri. Hao wakinga mnaosema matajiri ni watu wa kawaida sana ila umaskini wa watanganyika wengi wanaona mtu yeyote anayeza kula milo mtatu tu ni tajiri.

Maskini hawezi shindwa vigezo vidogo kama kutoa nduguye kafara, sijui kula punje na ujinga mwingine kama huo.

Hizi ni story za kijinga zinaaminiwa na watu wajinga.
 
Msimamao wako ni upi boss naona umeweka maelezo mengi yasiyo na maingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…