Bennie 369
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 713
- 534
- Thread starter
-
- #21
Aise wanadamu tunapishana sana akili, wengine wanawaza kupiga pesa ndefu kila siku lakini kumbe kuna wengine wanawaza mambo ya kulala uchi kama mbwa!!!
Labda wa Dar na Sudan. Hivi Arusha, Lushoto, Mbeya, Njombe, Makambako, Mafinga na maeneo baadhi ya Songea unawezaje kulala uchi?
hapana kwa mwanaume ndiyo si sawana mwanamke pia
mwanume hata jamabzi akija huwa ndiyo wanatoka nje wa kwanzakwanini kwa mwanamke kulala uchi iwe sawa
ila kwa mwanaume iwe noma...??
watu mnamioyo migumu... hivi unaanzaje kulala uchi
huu ni ushauri wa madaktari bingwa wa afya na sio amri... .. . hivi unajua kutokana na harakati za mchana zote inabidi usiku mwili upumzike?... .. . na hatua za kuuchaji mwili tena ndio hizo
Acha mwili upumzike ila sio kwa kuchojoa kila kitu.... sitapata usingiz kwakwel
Hiyo ni kawaida Yangu sio muda wa kulala tu, nikiwa nyumbani napenda kukaa uchi
Mi silazima kulala hata nikitembea natembea uchi.
Hiyo ni kawaida Yangu sio muda wa kulala tu, nikiwa nyumbani napenda kukaa uchi
Mi silazima kulala hata nikitembea natembea uchi.
watu mnamioyo migumu... hivi unaanzaje kulala uchi
TANGU NIOE SIJUI HABARI YA KUMVUA MKE WANGU CHUPI KWA KUA KAMA HAYUPO MWEzini wote tunaalala uchi. ni mwendo wa kuparamiana tu. kulala uchi safi sana. ukiona mtu anaogapa kulaala uchi ujue ana mwili mmbayaaaa
Usinambie wewe hulali uchi,mbona mateso hayo
Jaman nimecheka saaana duh uchi uchi.
ni raha unajisikiaga uhuru na hewa nyepesi,,,pia mashine inakua vizuriii bila kikwazo