Zijue faida kabambe za kulala mtupu/uchi wakati wa usiku


Hahaaa nilichoona kwenye hii Thread bado wanaume WANAZIPENDA TIGO zao lazima wazilinde kwa namna yeyote ile ikibidi hata kufa!!
 

Uchi ndani ya blanket kubwaa...zito
 
Hahaha! Na watoto wa kihuni wakiingia ndani wakakukuta baba upo uchi, lazima wakubonyeze
 
TANGU NIOE SIJUI HABARI YA KUMVUA MKE WANGU CHUPI KWA KUA KAMA HAYUPO MWEzini wote tunaalala uchi. ni mwendo wa kuparamiana tu. kulala uchi safi sana. ukiona mtu anaogapa kulaala uchi ujue ana mwili mmbayaaaa

Mwenye mwili mbaya ni yeye au wewe ambaye hujazaliwa. Sijui umetapikwa mkuu???...ref: your Avatar
 
ukiwa wewe na mwenzi wako, tena sio chumbani tuu,,,, nyumba yote kwa ndani mnazunguka uchi tuuu....shida iko wapi?....hizi kende zinatakiwa ziwe free sometime.

Lakini huyo mwanamke awe na t*ako ndio inapendeza ila kama ni flat screen...itakuwa kichekesho.
 
Ngoja kina Mshana waje, na wao watueleze jinsi majini mahaba wanavyojisevia kwa wale madada wanaolala mlango wazi.
 

lakin ukumbuke popobawa akikutembelea hakuna msalie mtume wala kujitetea
 
naunga mkono hoja kwa 100%. mm niliacha kuvaa chupi about 30 years ago. hata ninapokuwa mwenyewe room huwa sivai chochote. nakupongeza sana mtoa mada kwa kusogeza hii elimu karibu na wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…