Jibebe Inc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 905
- 166
- Thread starter
-
- #81
Habari, Mkuu iyo ni Email address ambayo inamilikiwa na hiyo taasisi husika. Kama email haifiki inaweza kusababishwa na kutokua active kwa email yao iyo katika upande wa domain au hosting, Au inawezekana aijawa created au ipo suspended katika hosting control panel.Et jamani naomba kuuliza, hiv links zinazoanza na "info" kama hii info@ihi.or.tz huwa ni email addresses au zinamaanishaga nini maana nimetuma email haifiki, narudishiwa report kuwa imeshi dikana, naomben msaada! View attachment 2014780
Mh hiyo changamoto sasaHabari, Mkuu iyo ni Email address ambayo inamilikiwa na hiyo taasisi husika. Kama email haifiki inaweza kusababishwa na kutokua active kwa email yao iyo katika upande wa domain au hosting, Au inawezekana aijawa created au ipo suspended katika hosting control panel.
Lazima hivyo vyote vizingatiwe ili email iweze kufanya kazi.Mh hiyo changamoto sasa