Jibebe Inc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 905
- 166
Matumizi ya email za kampuni (Corporate Business Email Address) ni moja ya njia rahisi kabisa ya kutangaza biashara yako kwa wateja. Kitu ambacho nilikuwa ninajiuliza sana, inawezekana vipi mtu akatuma taarifa za kampuni kwa kutumia email za gmail? Utamuhakikishia vipi mteja kama anadili na kampuni na si mtu binafsi (mfanyakazi wa ndani ya kampuni aliyeamua kuifanya hiyo kazi mwenyewe)?
Matumizi ya emails za bure siyo tu yanakuondolea uthamani (Value), bali kunaweza kukukimbizia wateja wengi. Pia, kumbuka kuwa, si lazima uwe na website ili uwe na email ya kampuni. Unachotakiwa ni kuwa na jina la website na ukanunua bando la email. Jibebe Digital tunayo huduma ya email kwa kampuni (Business Emails). Huduma hizi zote zinapatikana kwetu kwa Gharama ya Tsh 97,000/= Tu kwa mwaka mzima.
Faida za kutumia email ya kampuni
Uaminifu: Siku zote wateja hupenda kufanya biashara na watu wanao waamiini. Kwa kutumia emails za kampuni kutakusaidia kujenga uaminifu kwa wateja na kuondoa maswali maswali.
Inakufanya uwe kikazi zaidi: Wazo la haraka ambalo huwajia watu pindi wanapopokea email yako toka gmail au Yahoo ni kuwa, huyu hayupo makini na kazi yake. Hata email hana bado anatumia Gmail kikazi. Hivyo epuka kupoteza thamani na kuonekana haupo makini.
Inaongeza upatikanaji wako online: Email za kampuni hubeba jina la kampuni, kwa mfano, unatumia info@yourbusiness. com, hii inamaanisha mtu akienda yourbusiness. com ataonana na website yako. Hata kama hauna Website, unaweza kuweka kurasa ya matengenezo ya website (Under Construction page) na taarifa kadhaa zinazotoa ujumbe wa biashara yako.
Msaada wa haraka: Kwa kutumia email za kampuni, inakuwezesha kupata msaada wa haraka pale unapokutana na tatizo lolote, mfano kuvamiwa na hackers nk kwakuwa unakuwa umejiunga na huduma ya malipo toka kwa kamouni husika.
Jinsi ya kupata Emails za kampuni:
Ili uweze kupata email ya kampuni, unatakiwa upate jina la website (domain name) na kifurushi cha email. Unaweza kupata kwa kutafuta Makampuni yanayotoa huduma hii (Website Hosting Companies) ambapo Jibebe Digital ni mmojawapo. Gharama na huduma zinategemeana na kampuni. Kwa mfano, Jibebe Digital inatoa huduma hii kwa gharama nafuu Zaidi ikijumuisha kurasa ya matengenezo bure. (Domain + Hosting au Bando la Email Kwa Tsh 97,000/= kwa mwaka mzima).
Hivyo, hauna sababu ya kuendelea kupoteza uthamani na wateja kwa kuendelea kutumia Gmail na Yahoo kwa mawasiliano ya kibiashara. Ni wakati wa kumiliki email ya kampuni leo na kuitumia.
WASILIANA NASI : +255.621 454 246