Zijue faida za kutumia Email za kampuni na siyo Gmail / Yahoo

Jibebe Inc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
905
Reaction score
166
Corporate-Email-tanzania.jpg

Matumizi ya email za kampuni (Corporate Business Email Address) ni moja ya njia rahisi kabisa ya kutangaza biashara yako kwa wateja. Kitu ambacho nilikuwa ninajiuliza sana, inawezekana vipi mtu akatuma taarifa za kampuni kwa kutumia email za gmail? Utamuhakikishia vipi mteja kama anadili na kampuni na si mtu binafsi (mfanyakazi wa ndani ya kampuni aliyeamua kuifanya hiyo kazi mwenyewe)?

Matumizi ya emails za bure siyo tu yanakuondolea uthamani (Value), bali kunaweza kukukimbizia wateja wengi. Pia, kumbuka kuwa, si lazima uwe na website ili uwe na email ya kampuni. Unachotakiwa ni kuwa na jina la website na ukanunua bando la email. Jibebe Digital tunayo huduma ya email kwa kampuni (Business Emails). Huduma hizi zote zinapatikana kwetu kwa Gharama ya Tsh 97,000/= Tu kwa mwaka mzima.

Faida za kutumia email ya kampuni
Uaminifu:
Siku zote wateja hupenda kufanya biashara na watu wanao waamiini. Kwa kutumia emails za kampuni kutakusaidia kujenga uaminifu kwa wateja na kuondoa maswali maswali.

Inakufanya uwe kikazi zaidi: Wazo la haraka ambalo huwajia watu pindi wanapopokea email yako toka gmail au Yahoo ni kuwa, huyu hayupo makini na kazi yake. Hata email hana bado anatumia Gmail kikazi. Hivyo epuka kupoteza thamani na kuonekana haupo makini.

Inaongeza upatikanaji wako online: Email za kampuni hubeba jina la kampuni, kwa mfano, unatumia info@yourbusiness. com, hii inamaanisha mtu akienda yourbusiness. com ataonana na website yako. Hata kama hauna Website, unaweza kuweka kurasa ya matengenezo ya website (Under Construction page) na taarifa kadhaa zinazotoa ujumbe wa biashara yako.

Msaada wa haraka: Kwa kutumia email za kampuni, inakuwezesha kupata msaada wa haraka pale unapokutana na tatizo lolote, mfano kuvamiwa na hackers nk kwakuwa unakuwa umejiunga na huduma ya malipo toka kwa kamouni husika.

Jinsi ya kupata Emails za kampuni:
Ili uweze kupata email ya kampuni, unatakiwa upate jina la website (domain name) na kifurushi cha email. Unaweza kupata kwa kutafuta Makampuni yanayotoa huduma hii (Website Hosting Companies) ambapo Jibebe Digital ni mmojawapo. Gharama na huduma zinategemeana na kampuni. Kwa mfano, Jibebe Digital inatoa huduma hii kwa gharama nafuu Zaidi ikijumuisha kurasa ya matengenezo bure. (Domain + Hosting au Bando la Email Kwa Tsh 97,000/= kwa mwaka mzima).

Hivyo, hauna sababu ya kuendelea kupoteza uthamani na wateja kwa kuendelea kutumia Gmail na Yahoo kwa mawasiliano ya kibiashara. Ni wakati wa kumiliki email ya kampuni leo na kuitumia.

WASILIANA NASI : +255.621 454 246
 
Faida za kutumia email ya kampuni.

Uaminifu: Siku zote wateja hupenda kufanya biashara na watu wanao waamiini. Kwa kutumia emails za kampuni kutakusaidia kujenga uaminifu kwa wateja na kuondoa maswali maswali.

Inakufanya uwe kikazi zaidi: Wazo la haraka ambalo huwajia watu pindi wanapopokea email yako toka gmail au Yahoo ni kuwa, huyu hayupo makini na kazi yake. Hata email hana bado anatumia Gmail kikazi. Hivyo epuka kupoteza thamani na kuonekana haupo makini.

Inaongeza upatikanaji wako online: Email za kampuni hubeba jina la kampuni, kwa mfano, unatumia info@yourbusiness. com, hii inamaanisha mtu akienda yourbusiness. com ataonana na website yako. Hata kama hauna Website, unaweza kuweka kurasa ya matengenezo ya website (Under Construction page) na taarifa kadhaa zinazotoa ujumbe wa biashara yako.

Msaada wa haraka: Kwa kutumia email za kampuni, inakuwezesha kupata msaada wa haraka pale unapokutana na tatizo lolote, mfano kuvamiwa na hackers nk kwakuwa unakuwa umejiunga na huduma ya malipo toka kwa kamouni husika.
 
Matumizi ya emails za bure siyo tu yanakuondolea uthamani (Value), bali kunaweza kukukimbizia wateja wengi. Pia, kumbuka kuwa, si lazima uwe na website ili uwe na email ya kampuni. Unachotakiwa ni kuwa na jina la website na ukanunua bando la email. Jibebe Digital tunayo huduma ya email kwa kampuni (Business Emails). Huduma hizi zote zinapatikana kwetu kwa Gharama ya Tsh 97,000/= Tu kwa mwaka mzima.
 
Inaongeza upatikanaji wako online: Email za kampuni hubeba jina la kampuni, kwa mfano, unatumia info@yourbusiness. com, hii inamaanisha mtu akienda yourbusiness. com ataonana na website yako. Hata kama hauna Website, unaweza kuweka kurasa ya matengenezo ya website (Under Construction page) na taarifa kadhaa zinazotoa ujumbe wa biashara yako.
 
Matumizi ya emails za bure siyo tu yanakuondolea uthamani (Value), bali kunaweza kukukimbizia wateja wengi. Pia, kumbuka kuwa, si lazima uwe na website ili uwe na email ya kampuni. Unachotakiwa ni kuwa na jina la website na ukanunua bando la email. Jibebe Digital tunayo huduma ya email kwa kampuni (Business Emails). Huduma hizi zote zinapatikana kwetu kwa Gharama ya Tsh 97,000/= Tu kwa mwaka mzima.
 
Matumizi ya email za kampuni (Corporate Business Email Address) ni moja ya njia rahisi kabisa ya kutangaza biashara yako kwa wateja. Kitu ambacho nilikuwa ninajiuliza sana, inawezekana vipi mtu akatuma taarifa za kampuni kwa kutumia email za gmail? Utamuhakikishia vipi mteja kama anadili na kampuni na si mtu binafsi (mfanyakazi wa ndani ya kampuni aliyeamua kuifanya hiyo kazi mwenyewe.
 
Jinsi ya kupata Emails za kampuni:​

Ili uweze kupata email ya kampuni, unatakiwa upate jina la website (domain name) na kifurushi cha email. Unaweza kupata kwa kutafuta Makampuni yanayotoa huduma hii (Website Hosting Companies) ambapo Jibebe Digital ni mmojawapo. Gharama na huduma zinategemeana na kampuni. Kwa mfano, Jibebe Digital inatoa huduma hii kwa gharama nafuu Zaidi ikijumuisha kurasa ya matengenezo bure. (Domain + Hosting au Bando la Email Kwa Tsh 97,000/= kwa mwaka mzima).
 
Inakufanya uwe kikazi zaidi: Wazo la haraka ambalo huwajia watu pindi wanapopokea email yako toka gmail au Yahoo ni kuwa, huyu hayupo makini na kazi yake. Hata email hana bado anatumia Gmail kikazi. Hivyo epuka kupoteza thamani na kuonekana haupo makini.
 
Jinsi ya kupata Emails za kampuni:​

Ili uweze kupata email ya kampuni, unatakiwa upate jina la website (domain name) na kifurushi cha email. Unaweza kupata kwa kutafuta Makampuni yanayotoa huduma hii (Website Hosting Companies) ambapo Jibebe Digital ni mmojawapo. Gharama na huduma zinategemeana na kampuni. Kwa mfano, Jibebe Digital inatoa huduma hii kwa gharama nafuu Zaidi ikijumuisha kurasa ya matengenezo bure. (Domain + Hosting au Bando la Email Kwa Tsh 97,000/= kwa mwaka mzima).

Hivyo, hauna sababu ya kuendelea kupoteza uthamani na wateja kwa kuendelea kutumia Gmail na Yahoo kwa mawasiliano ya kibiashara. Ni wakati wa kumiliki email ya kampuni leo na kuitumia.

WASILIANA NASI : CALL/ SMS/ +255.711 414 246 | +255.621 454 246
 
Faida za kutumia email ya kampuni​

Uaminifu: Siku zote wateja hupenda kufanya biashara na watu wanao waamiini. Kwa kutumia emails za kampuni kutakusaidia kujenga uaminifu kwa wateja na kuondoa maswali maswali.

Inakufanya uwe kikazi zaidi: Wazo la haraka ambalo huwajia watu pindi wanapopokea email yako toka gmail au Yahoo ni kuwa, huyu hayupo makini na kazi yake. Hata email hana bado anatumia Gmail kikazi. Hivyo epuka kupoteza thamani na kuonekana haupo makini.

Inaongeza upatikanaji wako online: Email za kampuni hubeba jina la kampuni, kwa mfano, unatumia info@yourbusiness. com, hii inamaanisha mtu akienda yourbusiness. com ataonana na website yako. Hata kama hauna Website, unaweza kuweka kurasa ya matengenezo ya website (Under Construction page) na taarifa kadhaa zinazotoa ujumbe wa biashara yako.

Msaada wa haraka: Kwa kutumia email za kampuni, inakuwezesha kupata msaada wa haraka pale unapokutana na tatizo lolote, mfano kuvamiwa na hackers nk kwakuwa unakuwa umejiunga na huduma ya malipo toka kwa kamouni husika.
 
Matumizi ya email za kampuni (Corporate Business Email Address) ni moja ya njia rahisi kabisa ya kutangaza biashara yako kwa wateja. Kitu ambacho nilikuwa ninajiuliza sana, inawezekana vipi mtu akatuma taarifa za kampuni kwa kutumia email za gmail? Utamuhakikishia vipi mteja kama anadili na kampuni na si mtu binafsi (mfanyakazi wa ndani ya kampuni aliyeamua kuifanya hiyo kazi mwenyewe).
 
Umechanganyikiwa? Mbona unarudia rudia tu maneno hayo hayo? Jaribu kuwa mbunifu kidogo ili mteja avutike kutaka kuyashuhudia hayo MAAJABU YAKO.
Asante mkuu kwa ushauri wako mzuri.
 
FAIDA YA KAMPUNI NA SIYO GMAIL AU YAHOO

Kukuza Biashara Yako
; Faida nyingine ya kutumia barua pepe maalum ni kwamba kila wakati unapowasiliana na mtu/mteja unakuza biashara yako. Hivyo kama ulikuwa unafikiria barua pepe maalum ni kwa makampuni makubwa tu, usifikirie hivyo tena.

Kwa Maelezo na taarifa zaidi tafadhal piga simu namba +255.711 414 246 | +255.621 454 246
 
Back
Top Bottom