Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
- Thread starter
- #121
Ngoja nikutag ukachangie kwenye kauzi kenu specialUmeubana sana bwana,tungechangia kina mama watu ndio wangefunguka Kwa hasira🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikutag ukachangie kwenye kauzi kenu specialUmeubana sana bwana,tungechangia kina mama watu ndio wangefunguka Kwa hasira🤣🤣
Mzee wako angekataa ndoa ungelikuwepo leo?Kataaa ndoa! Ndoa ni utapeli
Nikwambie wewe "una matatizo ya akili" halafu useme Sijakutukana?Tusi lipo wapi sasa hapo?
Kukosa akili ni sifa wala sio tusi ama tukano.Nikwambie wewe "una matatizo ya akili" halafu useme Sijakutukana?
#YNWA
Mtag mwenyekiti wao 😂😛 wale wa kataa ndoa njooni muone faida huku
Hivi mwenyekiti ni nani huyo?😀Mtag mwenyekiti wao 😂
Half american ndio chairman waoHivi mwenyekiti ni nani huyo?😀
Haa tena nilikua nareply comment yake somewhere sahivi kumbe ndiye anahamasisha tusiolewe Half american njoo usome faida za ndoa na uoe😜Half american ndio chairman wao
Ngoja akujeHaa tena nilikua nareply comment yake somewhere sahivi kumbe ndiye anahamasisha tusiolewe Half american njoo usome faida za ndoa na uoe😜
Weka data hapaUnafahamu kuwa hakuna uwiano wa population baina ya wanawake na wanaume duniani ?
Weka data hapa
Hizo ni data za ana Makinda na zimejaa uongo mtupu, mimi mwenyewe sikuhesabiwa halafu mtuambie wanawake ni wengi kuliko wanaume?
Leta za kwako wewe ulie kusanyaHizo ni data za ana Makinda na zimejaa uongo mtupu, mimi mwenyewe sikuhesabiwa halafu mtuambie wanawake ni wengi kuliko wanaume?
Ni uongo mkubwa
Wanaume ni wengi kuliko wanawakeLeta za kwako wewe ulie kusanya
Kwa hiyo umekusanya maneno ?Wanaume ni wengi kuliko wanawake
Data ni neno piaKwa hiyo umekusanya maneno ?