Zijue gharama za Nyama na maharage nchini Ubelgiji alipokuwa Lissu

Zijue gharama za Nyama na maharage nchini Ubelgiji alipokuwa Lissu

Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.

Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na hapa nitatumia takwimu.

Zifuatazo ni takwiku za bei ya nyama na maharage nchini ubelgiji alipokuwepo Lissu na katika soko la dunia.



Lissu anaonesha kushangazwa na kupanda kwa bei na hapo takwimu zinaonesha vitu vimepanda bei sana kwenye soko la dunia na hata huko ubelgiji alipokuwa anaishi

Ukiangalia takwimu/data hizo utagundua bei ya maharage na nyama kwa Tanzania ni chini ya bei ya wastani
hotuba ya Lisu ilikuwa na pety issues nyingi sana. acha kupoteza muda wako kufuatilia kila alichosema, unless huna shughuli ya kufanya
 
Back
Top Bottom