Zijue gharama za Nyama na maharage nchini Ubelgiji alipokuwa Lissu

Na kipato cha wabelgiji ni sawasawa na cha wabongo! Na Brussels tiketi ya daladala ni euro 2.4 kama shilingi 6100. Sema na hilo.

Amandla.

No mkuu ,fikiria zaidi ya hapo, swali kama Brussels mkate ni 2usd why Dar usiwe 2 ths?,nijibu kwanza
Hivi unajua kuna kipindi dola moja ilikuwa ni sawa na shilingi 7 za kitanzania? Kwa kuwa sasa hakuna shilingi 2 hivyo thamani sio halisi.

Dola ndio kipimo cha bei duniani na ni wewe tu ukitaka kusema thamani ya dola 1 iwe ni sawa na shilingi 1 lakini hakikisha una hela inayotambulika kwenye soko LA dunia
 
Yes sasa tunaanza kuelewana, chanzo cha daladala, kipindi hicho ilikua 5ths ma pound 20ths, sasa what's went wrong hadi kufikia 1usd iwe 2300ths ?,1usd ni sawa na 17 ZWK?
 
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.

Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na hapa nitatumia takwimu.

Zifuatazo ni takwiku za bei ya nyama na maharage nchini ubelgiji alipokuwepo Lissu na katika soko la dunia.

Lissu anaonesha kushangazwa na kupanda kwa bei na hapo takwimu zinaonesha vitu vimepanda bei sana kwenye soko la dunia na hata huko ubelgiji alipokuwa anaishi

Ukiangalia takwimu/data hizo utagundua bei ya maharage na nyama kwa Tanzania ni chini ya bei ya wastani
Kweli mkapa akukosea neno wapimbuvu na mko wengi kweli kwaiyo uchumi wa ubelgiji una fanana na Tanzania ,SS watanzania sijui tumelwogwa ,
 
No mkuu ,fikiria zaidi ya hapo, swali kama Brussels mkate ni 2usd why Dar usiwe 2 ths?,nijibu kwanza
Ngoja nikulaisishie, kama dunia nzima tungekuwa na sarafu moja, so mkate wa 1200tzs ambao Kwa Brussels ni 2usd, tz nitaununua 1.1usd, nazani ntakuwa nimeeleweka.
 
Kweli mkapa akukosea neno wapimbuvu na mko wengi kweli kwaiyo uchumi wa ubelgiji una fanana na Tanzania ,SS watanzania sijui tumelwogwa ,
Kwani bidhaa kwenye soko la dunia bei zinapangwa kutokana na uchumi huyu ni wa uchumi wa kati, wa kwanza au wa tatu au kwa kuangalia upatikanaji na uhitaji?
 
Yes sasa tunaanza kuelewana, chanzo cha daladala, kipindi hicho ilikua 5ths ma pound 20ths, sasa what's went wrong hadi kufikia 1usd iwe 2300ths ?,1usd ni sawa na 17 ZWK?
Hatuoni depreciation ya dola kwa sababu yenyewe ndio medium of exchange lakini ingekuwepo sarafu nyingine ya kuievaluate dola nafikiri hili swali usingeniuliza
 
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.

Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na hapa nitatumia takwimu.

Zifuatazo ni takwiku za bei ya nyama na maharage nchini ubelgiji alipokuwepo Lissu na katika soko la dunia.

Lissu anaonesha kushangazwa na kupanda kwa bei na hapo takwimu zinaonesha vitu vimepanda bei sana kwenye soko la dunia na hata huko ubelgiji alipokuwa anaishi

Ukiangalia takwimu/data hizo utagundua bei ya maharage na nyama kwa Tanzania ni chini ya bei ya wastani
wewe mpuuzi kwelikweli aisee
hembu tutajie namba ya watu wasiokuwa na ajira yeyote ubelgiji kisha linganisha na TZ
TUTAJIE WANAOLALA/SHINDA NA NJAA HUKO UBELGJ KISHA NA TZ TUONE
sijui mlisoma wapi huko mlikofundishwa ujinga na upuuzi kiasi hiki dah
 
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.

Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na hapa nitatumia takwimu.

Zifuatazo ni takwiku za bei ya nyama na maharage nchini ubelgiji alipokuwepo Lissu na katika soko la dunia.

Lissu anaonesha kushangazwa na kupanda kwa bei na hapo takwimu zinaonesha vitu vimepanda bei sana kwenye soko la dunia na hata huko ubelgiji alipokuwa anaishi

Ukiangalia takwimu/data hizo utagundua bei ya maharage na nyama kwa Tanzania ni chini ya bei ya wastani
Ishu sio bei ishu ni uwezo wa kipato cha mwananchi kuweza kumudu iyo bei, uwezi kutoa hitimisho kwa bei tu bila kuangalia factors zingine kama kodi, tozo, inflation rate, mzunguko wa pesa, wastani kima cha mshahara/kipato cha mwananchi n.k
 
Zitto si ni wenu hivyo ni lazima umfagilie tu lakini ukweli unabaki palepale kwamba mfumuko wa bei ni zaidi ya 30% lakini serikali inatudanganya kwamba ni single digit.
Una elimu hata ya kupiga hesabu za mfumuko wa Bei!?
 
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.

Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na hapa nitatumia takwimu.

Zifuatazo ni takwiku za bei ya nyama na maharage nchini ubelgiji alipokuwepo Lissu na katika soko la dunia.

Lissu anaonesha kushangazwa na kupanda kwa bei na hapo takwimu zinaonesha vitu vimepanda bei sana kwenye soko la dunia na hata huko ubelgiji alipokuwa anaishi

Ukiangalia takwimu/data hizo utagundua bei ya maharage na nyama kwa Tanzania ni chini ya bei ya wastani
Hebu tuletee na kipato cha raia wa Belgium vs Tanzania ili tupate ulinganisho wa kisayansi
 
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.

Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na hapa nitatumia takwimu.

Zifuatazo ni takwiku za bei ya nyama na maharage nchini ubelgiji alipokuwepo Lissu na katika soko la dunia.

Lissu anaonesha kushangazwa na kupanda kwa bei na hapo takwimu zinaonesha vitu vimepanda bei sana kwenye soko la dunia na hata huko ubelgiji alipokuwa anaishi

Ukiangalia takwimu/data hizo utagundua bei ya maharage na nyama kwa Tanzania ni chini ya bei ya wastani
Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa.
Huko CCM mmekosa kabisa watu wa kujibu hoja mnamtegemea Suphian na hoja yake ya protini?
 
Back
Top Bottom