Zijue gharama za Nyama na maharage nchini Ubelgiji alipokuwa Lissu

Akili kisoda huwezi elewa kitu
Mimi sishikiwi akili wewe endelea kushikiwa akili eti katiba inabadiri bei ya nyama? Katiba hata hii iliyopo inawapa wao ruzuku ya vyama kila mwaka wanapiga pesa wewe unaingiza nini? Mwenye akili Jaba
 
Unazidi kujivua nguo ujue wewe zuzu. Huwezi kushikiwa akili kwa vile akili zenyewe huna kabisa
 
Mimi sio wewe mwenye akili Jaba Ila zimeshikwa na Lissu wewe mwenyewe huna akili, huna kitu cha kuhoji kila kitu ndio ndio mfia chama
 
No wonder Mzungu alitukuta tunavaa ngozi wakati wao walikuwa wanawaza kutengeneza Magari japo wote maisha yetu yalianzia Bustani ya Eden pamoja 😂😂

Hakika haikuwa Bahati Mbaya au ndo bado tunajipa moyo eti Mungu ana kusudi lake???🤣🤣
 
Kuna watu wanapotosha humu mpaka kichefuchefu
Kama ni bei imepanda kila sehemu na tunaona watu wanavyolia

Hapa penyewe kuna watu wanatumia kuni na vipato vyao ni vikubwa
Ninaposema hapa nina maana [emoji636]
Tulikuwa tunalipa nyama halali kwa kilo £7 na sasa ni £13 ongezeko hilo ni kubwa sana ingawa wanafuga kondoo na ng'ombe kwa wingi

Sasa mtu anakuja anasema kwani Belgium wanalima maharage
Mwingine anasema bei imepanda ila mishahara imepanda pia, huo nao ni uongo kwani kupandisha mishahara ina athari zake kiuchumi (uliza wataalamu)

Lingine mishahara yetu inatutosha ila matumizi yamekuwa makubwa sana ukilinganisha hata savings imepungua.

Tuna utofauti kwa ajira tu ila na nyie mpambane muwe na viwanda na biashara za kutoa nje uchumi upande acheni kulalamika ooh wahindi wanakaa nyumba za msajili ooh mzungu anaiba rasilimali

Mara mwarabu kaiba wanyama
Ataiba kwani nyumba hiyo na wenyewe wamelala?
 
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.

Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na hapa nitatumia takwimu.

Zifuatazo ni takwiku za bei ya nyama na maharage nchini ubelgiji alipokuwepo Lissu na katika soko la dunia.

Lissu anaonesha kushangazwa na kupanda kwa bei na hapo takwimu zinaonesha vitu vimepanda bei sana kwenye soko la dunia na hata huko ubelgiji alipokuwa anaishi

Ukiangalia takwimu/data hizo utagundua bei ya maharage na nyama kwa Tanzania ni chini ya bei ya wastani
Na kipato cha wabelgiji ni sawasawa na cha wabongo! Na Brussels tiketi ya daladala ni euro 2.4 kama shilingi 6100. Sema na hilo.

Amandla...
 
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.

Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na hapa nitatumia takwimu.

Zifuatazo ni takwiku za bei ya nyama na maharage nchini ubelgiji alipokuwepo Lissu na katika soko la dunia.

Lissu anaonesha kushangazwa na kupanda kwa bei na hapo takwimu zinaonesha vitu vimepanda bei sana kwenye soko la dunia na hata huko ubelgiji alipokuwa anaishi

Ukiangalia takwimu/data hizo utagundua bei ya maharage na nyama kwa Tanzania ni chini ya bei ya wastani
Angalia au fananisha pato la kila mmoja kati ya hizo nchi mbili

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Ishu ya msingi sio GDP au per capita hoja hapa ni ishu ya kupanda bei ya vyakula ,je lissu kushangaa vitu kupanda bei ni sawa huku hata ubelgiji bei za vitu zilipanda sana?
Watu wanapolalamikia bei ya vitu kupanda ni kuwa bei mpya ni zaidi ya uwezo wao. Suala sio tu kupanda bei bali pia ni uwezo wa wananchi kuzimudu bei mpya.
Lissu amelalamikiwa na wananchi kuhusu kupanda bei na sio kuwa yeye alienda sokoni akaona bei mpya. Punguzeni upotoshaji.

Amandla...
 
Hapa umeonesha mapungufu makubwa kwenye uelewa wako. Bei katika soko inapangwa kutokana forces of demand and supply , bei haipangwi tu kwa kutamani iwe hivyo na kipimo ni dola ya Marekani.
...bei inapangwa kutokana na demand &supply, hakuna tatizo na tupo pamoja kwa hili, sasa why nikiwa hapa nchini nite 3500tshs kununua 1L ya diesel, wakati nikiwa zambia natoa 28ZWK kupata 1L ya diesel?,nijibu why na mimi hapa lingusenguse nisiende na 28ths kwa garage ili ninunue 1L of diesel, ukinijibu hili then we can discuss, maana nikiwa na 3500ZWK ,hizo pesa ninanunua diesel kutoka nakonde hadi kazungula, 1600km
 
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.

Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na hapa nitatumia takwimu.

Zifuatazo ni takwiku za bei ya nyama na maharage nchini ubelgiji alipokuwepo Lissu na katika soko la dunia.

Lissu anaonesha kushangazwa na kupanda kwa bei na hapo takwimu zinaonesha vitu vimepanda bei sana kwenye soko la dunia na hata huko ubelgiji alipokuwa anaishi

Ukiangalia takwimu/data hizo utagundua bei ya maharage na nyama kwa Tanzania ni chini ya bei ya wastani
Alikuwa anakula bure asingeweza kufahamu bei ya maharage unamuonea bure
 
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.

Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na hapa nitatumia takwimu.

Zifuatazo ni takwiku za bei ya nyama na maharage nchini ubelgiji alipokuwepo Lissu na katika soko la dunia.

Lissu anaonesha kushangazwa na kupanda kwa bei na hapo takwimu zinaonesha vitu vimepanda bei sana kwenye soko la dunia na hata huko ubelgiji alipokuwa anaishi

Ukiangalia takwimu/data hizo utagundua bei ya maharage na nyama kwa Tanzania ni chini ya bei ya wastani
Nimecheka sana hao ndiyo vilaza wa CCM walifeli shule wakabebwa na wazazi wao, lakini bado ujinga uko palepale
 
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.

Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na hapa nitatumia takwimu.

Zifuatazo ni takwiku za bei ya nyama na maharage nchini ubelgiji alipokuwepo Lissu na katika soko la dunia.

Lissu anaonesha kushangazwa na kupanda kwa bei na hapo takwimu zinaonesha vitu vimepanda bei sana kwenye soko la dunia na hata huko ubelgiji alipokuwa anaishi

Ukiangalia takwimu/data hizo utagundua bei ya maharage na nyama kwa Tanzania ni chini ya bei ya wastani
Stupid!Kwa hiyo mkutano uliwahusu watu wa Ubelgiji?Ukishajielewa kwamba uwezo katika uchambuzi,upembuzi na kuyaelewa mambo ni mdogo,tuliza kiuno chako usiyumbeyumbe.Mambo makubwa unataka uyajibu kipuuzi?
 
Back
Top Bottom