Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Mimi simwelewi nawasha TV nasikia anazungumzia maharage na katiba maharage na katiba, yaani katiba ndio inapanga bei ya maharage? Kenya hapo sio mbali watajibu katiba ndio inaamua bei ya maharage nchini kwao?Halafu mwanasiasa anayetaka urais wa nchi anakuja kushangaa bei, wakati alitakiwa aelezee wananchi mpango alio nao kwa kilimo Cha Tanzania ili kitoke hapo kilipo endapo CDM itachukua nchi. Ile hotuba haikuonyesha leadership yoyote ile
SIJAONA kwenye katiba kifungu kinachoeleza kupangwa bei ya maharage na nyama, hicho kifungu hakipo, hata kile alichotaja hakiendani kabisa na ishu ya maharage na nyama, ametaja tu basi sijui bunge litakaa litaamua blah blah blah, km vipi arudi tu akaendelee kula hela alizopewa maana akianzisha vurugu atakimbilia alipotoka na kuwaacha wasiokua na kwa kukimbilia wakiumia wenyewe