majam19
JF-Expert Member
- Nov 13, 2024
- 900
- 971
Ahahah hapn bhnHuna akili maana badala ya kusoma between lines umesoma hiyo post yangu kama mtu asiye na ubongo.
Au USINGO MAZA wa dadako umekuvuruga kiasi hicho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahah hapn bhnHuna akili maana badala ya kusoma between lines umesoma hiyo post yangu kama mtu asiye na ubongo.
Au USINGO MAZA wa dadako umekuvuruga kiasi hicho.
Namuonea huruma sana mwanaume atakayeamua kujifunga kifungo kimoja na huyu binti endapo bado akawa na akili hizi.Jadda Yupo poorly trained eneo la mahusiano plus anaonekana kuwa over spoiled yenye mchanganyiko wa Daddy issues. Mitazamo yake mingi ni copy and paste ya eurocentric feminist agenda propaganda,hanaga tija ya kijinsia eneo la uafrika.
Aiseee..... kipi kifanyike ndugu mtaalamu
Sasa hapo mwenzako anajiona bonge la shujaa anayepigania masilahi ya wanawake.😂😂😂Namuonea huruma sana mwanaume atakayeamua kujifunga kifungo kimoja na huyu binti endapo bado akawa na akili hizi.
Iwekewe lamination na iingizwe kwenye mtaala shule ya msingi darasa la tatu mpaka form six hii comment iwe inajirudia rudia kila level na iwe na strong notes kila levelKadili inavyopanda ngazi kimaisha ndivyo unatakiwa kuwa makini zaidi na muingiliano wako na wanawake. Hiki ni kipindi ambacho utakua target ya hawa wakina dada, usije ukajidanganya kwamba wewe una mvuto, handsome na illusions zingine. Ukweli ni kwamba wanawake hawa hawakuangalii wewe kama binadamu, wanakuangalia kama fursa.
Nafikiri ni mtu ambae bado hayupo ndani ya ndoa na umri umeenda, kwahiyo ni kama kuna namna amekata tamaa na maisha ya mahusiano hasa kuhusu wanaume.Sasa hapo mwenzako anajiona bonge la shujaa anayepigania masilahi ya wanawake.😂😂😂
Sasa wewe Aziz unamuona mzima yule?bikira, acheni kuchezea wasichana vinginevyo hata ninyi mnajikomoa wenyewe kwa kukosa wanawake wenye sifa mnazozitaka na kuangukia kwa wenye 'afadhali'..hivi mtoa mada una habari Hamisa kaolewa na Aziz??
Wewe una kipi cha kumzidi aziz ki tuanzie hapo kwanza, na siyo aziz ki tu kuna wanaume wengi tu wenye heshima zao wanaoa masingle mother, wewe una kipi cha kuwazidi wanaume wa aina hiyoSasa wewe Aziz unamuona mzima yule?
Yule na wewe mnafanana akili na huu mwaka haupinduki tutarudi hapa kuulizana habari za aliyoyafanya.
Bold ndogo,hakuna haja ya kuanza kutangaziana nina kipi cha kumzidi Aziz lakini kitendo cha kuwa tu na akili nisioe single mama huwezi nifananisha na huyo bwana mdogo.Wewe una kipi cha kumzidi aziz ki tuanzie hapo kwanza, na siyo aziz ki tu kuna wanaume wengi tu wenye heshima zao wanaoa masingle mother, wewe una kipi cha kuwazidi wanaume wa aina hiyo
Katika hali ya kawaida masikini aliyeoa mwanamke bikira na tajiri aliyeoa single mother nani kati yao anaheshimikaBold ndogo,hakuna haja ya kuanza kutangaziana nina kipi cha kumzidi Aziz lakini kitendo cha kuwa tu na akili nisioe single mama huwezi nifananisha na huyo bwana mdogo.
Bold kubwa,hao ni wendawazimu na siyo kila mwanaume unayemuona ukadhani ana akili hao wanaishi maisha ya wasiwasi kuliko kiumbe chochote duniani,mwanaume makini na anayejitambua hawezi kuoa mwanamke aliyezaa kama mbwa labda kama mjane nje ya hapo ni big no!
Funny 😂 😂 😂Kwanza kabisa jueni kutofautisha kati ya nature na social constructs msichanganye hivi vitu viwili wala msilazimishe kiwe kitu kimoja kwa sasa tunachokiona siyo nature bali ni wanaume kuumia zaidi kwa kukosa wanawe wenye sifa wanazozitaka, mwanaume akiamua kwa makusudi kuwachezea wanawake kwa kudhani kwamba anawakomoa mwisho wa siku akitaka kuoa atakosa wanawake so called wife material kwahiyo atakayeteseka ni yeye, tukija kwa wanawake ukitoa stress za kusakamwa na jamii hakuna madhara wanayoyapata wao kama wao kwa kukosa bikira wenye shida na hizo bikira ni wanaume hivyo ninyi ndio mnatakiwa kuhakikisha hamzitoi hovyo hovyo kwa visingizio visivyo na uhalisia matokeo yake ninyi ndio mnafata kuwa delusional baada ya wanawake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu hapo sio mbunye peke yake, hapo utapewa mpaka ile nyingine kama kifungashio ili upumbazike vizuri.Toxic Phase ndiyo kipindi anapatikana kwa urahisi mno akiwa mkweli na kutoa mbunye kwa roho safi.. Moyoni mwake anajisemea liwalo na liwe..
Hivi upo sawa kiakili?Katika hali ya kawaida masikini aliyeoa mwanamke bikira na tajiri aliyeoa single mother nani kati yao anaheshimika
🤣zambi hizi
When the reality hits hardFunny 😂 😂 😂
Katika hali ya kawaida masikini aliyeoa mwanamke bikira na tajiri aliyeoa single mother nani kati yao anaheshimika
Katika hali ya kawaida masikini aliyeoa mwanamke bikira na tajiri aliyeoa single mother nani kati yao anaheshimika
Tatizo lako uelewa mdogo ndio maana umeshindwa kutambua hoja yangu hapa kinacholinganishwa ni pesa za mwanaume vs aina ya mwanamke anayeolewa na mwanaume, ndio maana nimevitenganisha hivyo vitu ili tuone heshima itaenda wapi sababu kipaumbele cha kwanza cha mwanaume ni heshima, kwahiyo wewe unavyoona kwenye jamii yetu mwanaume masikini akioa bikira ndio ataheshimika kuliko mwanaume tajiri akiona single motherHivi upo sawa kiakili?
Kwa mijadala inayoendelea humu na kwenye mitandao mingine even mtaani unakoishi ukiutumia ufahamu wako japo kwa 0.01% unaona ni yupi anaheshimika hapa?na kwa nini iwe maskini aoe bikra tajiri aoe single unadhani hao matajiri hawaoi bikra maskini hawaoi single?
Akili za wapi hizi?
Mkuu tunaongelea heshima kwa ujumla heshima ni heshima tu sidhani kama ina categories, wewe ulisikia wapi mwanaume anapewa heshima kisa kaoa mwanamke bora, ni kipi wanachofanyiwa hao wanaume hadi utafsiri kuwa ni heshima wanapewaKama tunaongelea heshima inayotokana na mtu kuwa na pesa ataheshimika tajiri lakini kama ni swala la nani kaoa mke Bora obvious ni maskini
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza kuoa hicho kifurushi.Nafikiri ni mtu ambae bado hayupo ndani ya ndoa na umri umeenda, kwahiyo ni kama kuna namna amekata tamaa na maisha ya mahusiano hasa kuhusu wanaume.