Hahaha sasa wangekuwa wanaplay roles zao kwenye hizo ndoa si zingekuwa hazivunjiki kila siku tunasikia milio ya wanaume kwenye ndoa halafu mnakuja kutusingizia sisi kwamba ndio tunawaharibu wanawake wenzetu oh please give me a break, ukweli ni kwamba wanawake wamechoka kuwa watumwa wa propaganda za wanaume na hamkutegemea haya ndio maana mayowe kila mahali, wewe ukiniita mimi msimbe hainiumi kwa sababu najijua mimi siyo msimbe zaidi sana nakuona kama ni wewe ndio una stress na unatafuta tu namna ya kujifariji kwa umasikini wako hadi kufikia hatua ya kuwa marioo na kudangia mishangazi..pathetic!!