Zijue mascara na namna ya kupaka

hahahahahah uson full vurrugu rangi 4 kwenye jicho hahahaahha jaman mie nachekaga kila nikumbukapo !kha kuna watu jamn wanachafua nyuso za watu

Rangi 4 ?!!, Hahah!, huko ni kuchafua jicho haswa!
Si unajua lakini wengine wanavyopenda vitu vya kuwaka waka, iwe mchana iwe usiku...lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hizo zawadi zikiletwa ujue ni za ukoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…