Zijue mashine ambazo utazikuta Tanzania tu, Kenya hazipo

Afu ujue ulivyo mshamba, hii picha umetumia kwenye uzi wako imepigwa Kenya halafu unasema ipo Tanzania, yaani huko Tanzania ni wapi utapata barabara za kihivi. Vyote ulivyovitaja kama LUKU mumeiga kutoka Kenya

 
Iyo na 2 iwepo kenya isiwepo lkn TZ traffic officer mnakeraa.....kutupachka maspeed offence bila hatia, wanakera sana.
 
Afu ujue ulivyo mshamba, hii picha umetumia kwenye uzi wako imepigwa Kenya halafu unasema ipo Tanzania, yaani huko Tanzania ni wapi utapata barabara za kihivi. Vyote ulivyovitaja kama LUKU mumebuni kutoka Kenya

Hii sasa ni "desesperado". Hebu angalia hiyo picha vizuri, hiyo kweli ni Kenya? Siku hizi mnaendesha magari upande wa kulia?
 

To be continued....

Why havent u continued with list? Dont tell me that ya busy!

Btw, have u got these in your streets?

 
kwa swala la korogwe kwenye Hotels wanafanya hivyo to save time coz wanajua wateja wao ni abiria so hawana muda mrefu wa kusubir huduma
Nisipochukua risiti hapewi mwingine? They should have PAYMENT POINT SUPPORTED BY EFD MACHINE before getting services
 
To be continued....

Why havent u continued with list? Dont tell me that ya busy!

Btw, have u got these in your streets?

I can't do that now, I came to realize that I overdose you to the extent of being paralyzed the whole coordination system which was not my primary choice, so I will be giving proposional accordingly to your mental status thank you.
 
I can't do that now, I came to realize that I overdose you to the extent of being paralyzed the whole coordination system which was not my primary choice, so I will be giving proposional accordingly to your mental status thank you.

Arrant gibber gabber!

You were showing us stuff not available in Kenya, u've failed.

And kindly, just try to keep your English simple.
 
Hehehehe ati speed gun, tokens na ETR machines ndio hatuna, we have NTSA that Tz doesn't have, KPLC is bigger than TANESCO by far, which the latter is facing financial cashflows, our KRA beats TRA hands down in everything including revenue collection
 
Hii sasa ni "desesperado". Hebu angalia hiyo picha vizuri, hiyo kweli ni Kenya? Siku hizi mnaendesha magari upande wa kulia?

Sawa naweza kuwa nimekosea kwenye upande unaotumika kuendesha gari lakini hata hivyo hadhi ya barabara iliyoonyeshwa hapo haiwezi kupatikana Tanzania. Hii hapa barabara ya Kenya iliyo kwenye kiwango kama hicho.

 

Ulimwnegu wa kidigitali

TANZANIA
Selcom inatoa huduma zifuatazo katika soko la Tanzania:

  • Thamani ya usambazaji wa umeme, kukupa muda wa maongezi kupitia mitandao ya simu, kukuunganisha na mtandao wa malipo, kuendesha mtandao mmoja mkubwa wa malipo kwa ajili ya huduma na kulipia kabla muda wa maongezi.
  • Suluhisho kwa biashara kupitia simu na malipo kupitia simu kwenye benki na mitandao ya simu kubwa hapa Tanzania, ikiwa imeunganisha na waendeshaji wakuu wa mitandao ya simu.
  • Huduma za benki ya mkononi kwenye baadhi ya benki kubwa Tanzania, zikiwemo Standard Chartered Bank, Barclays Bank, Tanzania Postal Bank, Exim Bank, Dar es Salaam Community Bank na Akiba Commercial Bank, kuzitaja chache, pamoja na uendeshaji wa lango za huduma za Airtel Money, Vodafone M-pesa, Tigo Pesa, Zantel Z-pesa, na NMB.
  • Ni kampuni kubwa nchini inayotoa huduma za malipo bila kadi kwa bidhaa mbalimbali kupitia mtandao wenye mashine za mauzo zinazofanya kazi zaidi ya 5,000 Tanzania na 500 Rwanda chini ya chapa ya PayPoint, ikiendesha mfumo mzima wa biashara na ufundi wa ndani kuanzia:
  1. usajili wa muuzaji
  2. mafunzo
  3. msaada wa kiufundi
  4. huduma kwa wateja
  5. usimamizi wa pesa
  6. matangazo
  7. Kutengeneza programu, unganishaji, matengenezo, msaada na utawala


  • Wakala wa mabenki kwa wateja kadhaa muhimu wa mabenki.
  • Huduma za kutoa/kuweka pesa kutumia mashine za POS kwa Vodacom M-pesa, Tigo Pesa na Airtel Money ili kuongeza mtandao wa mawakala na ukwasi.
  • Wakala mkuu wa Vodacom M-PESA, wa kutoa huduma za hela kwa mawakala wa Vodacom M-PESA nchini kote.

UGANDA


Mwaka 2013, kampuni tanzu ilianzishwa nchini Uganda. Miradi ya awali ipo katika ukamilishaji na zinategemewa zitaachiwa hivi karibuni.




Selcom Gaming Plc
8th Floor, Uhuru Heights
Bibi Titi Mohamed Road T +255 22 215 0254
P. O. Box 20656 E info@selcom.net
Dar es Salaam, Tanzania

Uwepo
 



SelCom Tanzania Wateja

UTILITIES
  1. Multichoice Africa
  2. DAWASCO
  3. LUKU
  4. ZUKU
  5. Smile Telecom
  6. Real Insurance
  7. Precision Air
  8. IBE Services
  9. StarTimes
  10. African Life Insurance/ Ndege Insurance – Safari Njema Product
  11. AzamTV
  12. NECTA
  13. UhuruOne
  14. ZAWA
  15. MUWASA
  16. Azam Marine




NETWORK OPERATORS


  1. Vodacom Tanzania
  2. Airtel Tanzania
  3. Tigo Tanzania
  4. Zantel
  5. Tanzania Telecommunications Company Limited (TTCL)
  6. Smart Tanzania (BOL)
  7. Halotel Tanzania


BANKS


  1. Barclays Bank
  2. Standard Chartered Bank
  3. Exim Bank
  4. NMB
  5. Equity Bank
  6. Ecobank
  7. Tanzania Postal Bank
  8. Dar es Salaam Community Bank
  9. Mkombozi Bank
  10. Kenya Commercial Bank
  11. Stanbic Bank
  12. Umoja Switch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…