Zijue mashine ambazo utazikuta Tanzania tu, Kenya hazipo

Hawa jamaa wamebaki maneno mengi tu hawana lolote. Sasa hawa hapa ni wazee wa kazi. Watuoneshe mitutu ya kisasa kama hiyo hapo. Very small and powerful, special for operation. Siyo kwenda na mizinga kukimbiza vibaka wanne westgate


Hahaha bado wapo na haya mangobore yanawazidi mpaka kimo
 
Broadcasting Vehicles. Hakuna Kenya vitu kama hivi only Tanzania in this region








Yeah Sure

KTN the first Privately Owned TV station IN AFRICA ndio mnataka ku compete nayo

Smh


and was the first non-pay privately owned TV-station in Africa, and the first to break KBC's monopoly in Kenya.

Hatujaenda NMG .....

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Sasa wewe DC ndio unajisifia kuwa na via Apps hivyo Bongo mbona apps nyingi sana za banks



 
Leta equipments hapa. Acha kupiga kelele. Ziko wapi vehicles za KBC?
 
National Stadium Smart Doors











Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii hata Train Station ya RVR hapa Nakuru Zipo....pale Huduma Centre ...Pale COUNTY PARLIAMEMT smh [emoji23][emoji23][emoji23] haikosi mnashangilia lifts pia [emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Ninataka Stadium. Mbona unajiondoa ufahamu. Leta kwenye uwanja wa mpira. Huwezi hizi issue wewe.
 
Huu ubishi wa Tz vs Kenya hautusaidii. Waafrika tuungane tuwe taifa kubwa sio haya mabishano ya kitoto. Mafanikio ya nchi yoyote ya Afrika yasheherekewe na waafrika wote sababu nje ya Afrika wote tunaonekana wamoja. Acheni mada za kuleta mgawanyiko hazina faida kwetu sote.
 
Hii ni nyumba ya Nani?
 
Ninataka Stadium. Mbona unajiondoa ufahamu. Leta kwenye uwanja wa mpira. Huwezi hizi issue wewe.
You know Kenya is Hosting World IAAF events this week right?
You know 5000 athletes from 131 countries are in Kenya Currently Participating Right??

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
You know Kenya is Hosting World IAAF events this week right?
You know 5000 athletes from 131 countries are in Kenya Currently Participating Right??

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Dogo hapa maneno no. Leta picha.
1. Broadcasting equipments leta hapa
2. Stadium Smart doors leta hapa

Mbona maneno mengi kama mjamzito!?
 
Huu uzi unautata kama kurudisha pesa za escrow

Sent from my Samsung galaxy S6 edge using jamiiforums app
 
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhandisi Stella Manyanya leo amekabidhi Bendera ya Taifa kwa wanafunzi saba wanaosoma masomo ya sayansi wanaokwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya First Global Challenges nchini Marekani. Makabidhiano hayo yamefanyika katika shule ya Sekondari ya wasichana Jangwani.

Katika makabidhiano hayo Mhandisi Manyanya amewataka wanafunzi wote nchini kusoma kwa bidii masomo ya sayansi, teknolojia na ubunifu ili kuhakikisha ndoto ya Tanzania ya kuwa na uchumi wa kati kupitia viwanda na biashara inafanikiwa na kwamba wizara tutaendelea na jukumu lake la kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia ili wanafunzi wote waendelee kufanya vizuri katika masomo ya sayansi.

Shule zilizotoa wanafunzi watakaoshiriki katika mashindano hayo ni pamoja na Jangwani, Azania, Jamhuri, Benjamini Mkapa, Feza na Kisutu.

Naye mratibu wa mashindano hayo kwa upande wa Tanzania ndugu Mkufu Shabani Tindi alisema mashindano haya yameanzishwa na kufadhiliwa na shirika lisilokuwa la kiserikali la Marekani liitwalo FIRST yenye maana ya for inspiration and recognition of science and technology lenye lengo la kuhamasisha ulimwenguni kote vijana wanaosoma masomo ya sayansi, uhandisi, teknolojia na hesabu kuweza kutatua changamoto mbalimbali ulimwenguni

Wanafunzi watakaoshiriki wanatarajia kuondoka kesho Juni 12, 2017 na watakuwa nchini Marekani kwa ajilia ya mashindano hayo makubwa kiulimwengu ambapo zaidi ya nchi 170 zitashiriki.

Naye mmoja wa washiriki Raymond Benedict kutoka Shule ya Sekondari Jamhuri amesema yeye wenzake wamejiandaa vizuri katika kuhakikisha wanaiwakilisha nchi katika mashindano hayo vizuri na kwa ufahari.








MICHUZI BLOG: Stella Manyanya akabidhi bendera kwa wanafuunzi watakaoiwakilisha nchi katika mashindano ya first lbal Robotic Challenges nchini Marekani
 
Now am just flossing
NAIROBI KENYA



KASARANI


Kenyatta University
Athletic Village and High Facility Training Centre for IAAF it got 50mn$ worth of Equipments


Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…