REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
- Thread starter
- #121
Hahaha bado wapo na haya mangobore yanawazidi mpaka kimoHawa jamaa wamebaki maneno mengi tu hawana lolote. Sasa hawa hapa ni wazee wa kazi. Watuoneshe mitutu ya kisasa kama hiyo hapo. Very small and powerful, special for operation. Siyo kwenda na mizinga kukimbiza vibaka wanne westgate
![]()