Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,679
- 2,123
- Thread starter
- #81
Kama unataka facts, plan to visit Israel. Watakuonyesha mambo mengi yaliyoandikwa kwenye Biblia, including kaburi la Yesu linalothibitisha Yesu alikuwepo duniani miaka 2000+ iliyopita. Utauona mto Yordan aliobatizwa Yesu nk. Hizo ni facts kwamba Yesu alikuwepo duniani na kabla hajapaa alisema anaenda kutuandalia makao.Kwanza, hujathibitisha Yesu atatuandalia hayo makao na kwamba hizo habari si hadithi za kujazana ujinga tu. Hiyo ni habari ya imani, si fact.
Thibitisha Yesu atatuandakia makao hayo, factually.
Lakini pili, hata kama Yesu atatuandalia makao, hilo haliondoi point ya problem of evil.
Kama una mtoto wako, mko kwenye gari, mnaelekea nyumbani, mtoto analia njaa, una uwezo wa kumpa chakula ale kwenye gari kabla hamjafika nyumbani, kwa nini umwambie mtoto akae na njaa tu kwa sababu atakula akifika nyumbani?
That will be cruel and unreasonable.
Is your God cruel and unreasonable?
Huo mfano wa mtoto na njaa hauna mashiko. Mimi tangu nimeokoka miaka mingi imepita sijakosa chakula. Yesu alisema tukiutafuta kwanza ufalme wa Mungu na haki yake tutazidishiwa chakula na mavazi.
So, my God isn't cruel. Ananilisha na anabariki kazi za mikono yangu sawasawa na jinsi alivyoahidi.