Zijue mbinu wake zetu hutumia kuwasiliana na michepuko kwa simu bila sisi kujua

Kwangu mimi huwa naona ni uzembe sana mwanaume kufumaniwa na mkewe kwa njia ya simu, mimi hata huyo mwanamke awe CIA hawezi kujua lolote kwangu labda nitake ajue ila kawaida tu hivi hawezi kunishika hata nikimpa simu wiki nzima.
 
Nishakusom we utakuwa na IQ kubwa sana.. Big up
 
Hiyo namba 3 kukariri namba na kufuta ndiyo inayotumiwa zaidi
 
Hizo mbinu hata sisi wanaume tunazitumia, ukiondoa hyo ya kanisani
 
Kwangu mimi huwa naona ni uzembe sana mwanaume kufumaniwa na mkewe kwa njia ya simu, mimi hata huyo mwanamke awe CIA hawezi kujua lolote kwangu labda nitake ajue ila kawaida tu hivi hawezi kunishika hata nikimpa simu wiki nzima.

“Ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu” ni kwambie kitu yani uta naswa kijinga sana afu utajiona boya vibaya “ yani kani nasia hapa kweli ? Imekuaje kuaje? Ki vipi yani? Nani kampa mchongo huu? Hapana em ngoja ni kague simu yake nione tena______ haya na maswali mengine mengi uta jiuliza sana..
 
Acha kuniweka roho juu bana..
 
Kuna watu toka utotoni asili yetu kubwa ni umakini (Siwezi kukamatwa) najua kwanini nasema.
 
“ Mwanamke yoyote aise save namba” huyu muogope kwa asilimia 99% ana chapwa nje!”

Kwanini namba ya Mangi wa duka umeisave kabisa - Mangi Dukani. Ila namba ya isio kua na jina huja save ikipigwa uta sikia __ aaa huyu huwa ni John tuna fanya nae biashara ndio huwa ana niletea mzigo? Kwaio huwezi kum save John Mizigo au John Biashara? Huwezi wewe mwanamke? Bado una taka mtu aamini kweli huwa ni business partner?
 
kwaiyo na nyie mnachepuka ila mnaumia mkigongewa
 
Mimi mchungaji alikuwa anakula mke wangu nimemwachia sasa hivi yupo huru hata saa hiz leo wskitoka ibadani nadhani atamla maana nimemwaachia.
 
Wanawake wa kiislam watamu sana tena sana na hawanaga mwembe ndani ya ndoa.

Niunganishe na huyo chocolate nimpe ushauri zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…