kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,491
- Thread starter
-
- #61
He he he tunaendelea na sherehe za uhuru!!! mimi wa kwangu nimempa huu uzi aendelee kupata maujuzi toka kwa wataalamu wa michepuko hapa tupo naye amecheka sana hii meseji yakoAcha kuniweka roho juu bana..
He he he tunaendelea na sherehe za uhuru!!! mimi wa kwangu nimempa huu uzi aendelee kupata maujuzi toka kwa wataalamu wa michepuko hapa tupo naye amecheka sana hii meseji yakoAcha kuniweka roho juu bana..
he he tumwachie mungu tutafanyaje na mchungaji ndio kawa na pepo za ngonoMimi mchungaji alikuwa anakula mke wangu nimemwachia sasa hivi yupo huru hata saa hiz leo wskitoka ibadani nadhani atamla maana nimemwaachia.
[emoji119] [emoji23]
Aisee.. Pole sana Mkuu.Mimi mchungaji alikuwa anakula mke wangu nimemwachia sasa hivi yupo huru hata saa hiz leo wskitoka ibadani nadhani atamla maana nimemwaachia.
“ Mwanamke yoyote aise save namba” huyu muogope kwa asilimia 99% ana chapwa nje!”
Kwanini namba ya Mangi wa duka umeisave kabisa - Mangi Dukani. Ila namba ya isio kua na jina huja save ikipigwa uta sikia __ aaa huyu huwa ni John tuna fanya nae biashara ndio huwa ana niletea mzigo? Kwaio huwezi kum save John Mizigo au John Biashara? Huwezi wewe mwanamke? Bado una taka mtu aamini kweli huwa ni business partner?
na kwenda siku hizi mikutano ya SACCOSSNa hii ya kusema naenda hospital kumuona mgonjwa flani kumbe anaenda kwenye mchepuko au utasikia naenda msibani/harusini n.k
Ha ha haaaaa... Ngoja nifuatilie kwanza yuko wapi maana lastime niliwasiliana na august 2016...Wanawake wa kiislam watamu sana tena sana na hawanaga mwembe ndani ya ndoa.
Niunganishe na huyo chocolate nimpe ushauri zaidi.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] , siku moja jaribu kimng'ang'ania muende wote uone itakuajena kwenda siku hizi mikutano ya SACCOSS
Kuna kitu kinaitwa Dark phone Yani simu moja inakuwa na sehemu mbili Transparency zone na Dark zone, Ukiwa kwenye mode ya Transparency hakuna Alerts yoyote utapata kutoka ktk dark zone japo simu zitaingia na text pia unachagua huyu nam save dark au transparency later on ukiswitch dark utakuta kila kitu nkifika home simu mezani huyo kitandani wife anachezea wewe na kutoka patupu now hata haigusi sasa, Sio michepuko tu hata mishe zangu sensitive siwezi ruhusu mke wangu azijue
Never boss kuswitch zone yoyote ni process ambayo inahitaji verification ya fingerprintSasa mkikutana wote wawili ni wataalamu na wote mnajua Dark zone na transparent zone inakuwaje? ukificha fuvu mwenzako anakuja kuliibua!
safari atahairisha.atakuambia anaumwa tumbo na ukitaka kumtega wewe jifanye unaondoka misele baada ya dakaika kumi ya yeye atakuwa keshapotea!!!![emoji38] [emoji38] [emoji38] , siku moja jaribu kimng'ang'ania muende wote uone itakuaje
Nakupm mkuuKuna kitu kinaitwa Dark phone Yani simu moja inakuwa na sehemu mbili Transparency zone na Dark zone, Ukiwa kwenye mode ya Transparency hakuna Alerts yoyote utapata kutoka ktk dark zone japo simu zitaingia na text pia unachagua huyu nam save dark au transparency later on ukiswitch dark utakuta kila kitu nkifika home simu mezani huyo kitandani wife anachezea wewe na kutoka patupu now hata haigusi sasa, Sio michepuko tu hata mishe zangu sensitive siwezi ruhusu mke wangu azijue
[emoji38] [emoji38] [emoji38] hapo sitamuelewa , nitamwambia anipeleke mpaka kwenye la tukio then turud ili niamini kama ilikua ni kwel anaenda hukosafari atahairisha.atakuambia anaumwa tumbo na ukitaka kumtega wewe jifanye unaondoka misele baada ya dakaika kumi ya yeye atakuwa keshapotea!!!!