Zijue mbinu wake zetu hutumia kuwasiliana na michepuko kwa simu bila sisi kujua

Kwangu mimi huwa naona ni uzembe sana mwanaume kufumaniwa na mkewe kwa njia ya simu, mimi hata huyo mwanamke awe CIA hawezi kujua lolote kwangu labda nitake ajue ila kawaida tu hivi hawezi kunishika hata nikimpa simu wiki nzima.
Waifu akileta kiburi naacha mesej za michepuko asome
 
Mimi mchungaji alikuwa anakula mke wangu nimemwachia sasa hivi yupo huru hata saa hiz leo wskitoka ibadani nadhani atamla maana nimemwaachia.
Victim wa wachungaji tuko wengi, waifu alisema kuna mkutano yeye ndo mpishi akawa anaondoka asubuhi anarudi jioni wiki nzima nakula viporo mchana nkasema haina noma alivomaliza namimi nikaanza xcuses naondoka asubuhi narudi ucku siku mbili tu ikamuuma akaanza kutukana kilichofwata ni mpambano mkali wa mywetha na pakiao
 
hizi ni mbinu za pande zote mbili mtu ukizubaa mwenzako asiye mwaminifu anazitumia kutoa kiu.Hizi tabia sio kwa wote ila wapo mafundi
Ivi nyie mbona mnalalamika sana.. nyie mnavyoendaga huko mpirani kuna anaewafwata
Je ingekua sisi ndio tunakuambia leo kuna mechi ntachelewa kurudi...
 
he he he hii kali
 
Hiyo ya chech nahisi ina ukweli ndani yake mtu katoka chech lakini ananuka shahawa, ptuuuuuu....
Au mtu anafanya maandalizi ya kwenda kanisani mpaka unamshtukia na huwa wanakuwa na waswasi na wanajihisi .unajiuliza ni maombi ndio yanafanyiwa maandalizi hivi au anaenda kutoa kiu!!
 
Hapo namba tatu Kama vile umemuona my X aliyeolewa na mshambamshamba mmoja alikutana nae chuoni[emoji38][emoji38]
Siku hizi huyo ex wako ni umeshaachana na yule mshambamshamba amenenepa kama mbuyu na kula bata tuu kaachana na mshamba.
 
Au mtu anafanya maandalizi ya kwenda kanisani mpaka unamshtukia na huwa wanakuwa na waswasi na wanajihisi .unajiuliza ni maombi ndio yanafanyiwa maandalizi hivi au anaenda kutoa kiu!!
Ni kweli anajishauri shauri, anaanza kuaga mapema saa nane tuna maombi, saa nane haendi utamsikia kumbe ni saa kumi bwana, saa kumi ikifika utaskia sijui niende tu, sema nikirudi ntamkosea mungu, ili tu ujilengeshe, nenda tu mama maombia ni muhimu, apo ndo unakua umempa go ahead
 
Mimi nilivojua sikufanya alivofanya nilimfuatilia nikiwa normal bila yeye kujua nikamkamata.
 
ogopa swala la kwaya kama america kwa propaganda chonganishi
 
Gegedo ni kitu hatari sana, hasa likitumiwa vizuri hakuna mwanamke mjanja.
 
Kuna hii nyingine usiku nyumba za kupanga mkeo anaenda kuoga bafuni kumbe tayari ameshapanga na njemba inakuwa inamsubiri bafuni inapiga cha fasta wewe wakati huo umetengewa msosi
[emoji3] umenikumbusha mbali mkuu.
 


Aiseeeeh. Mola aturehemu sisi binadamu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…