Zijue nchi zenye waafrika wengi zaidi nje ya Afrika

So East Africa hakuna hata mmoja?
 
Mkuu kwa population hiyo hakika 20 years to come watatoweka, binafsi nadhani UN hawana mkakati thabiti wa kuwalinda kama wanavyofanya kwenye maeneo mengine yanayotambulika kama Urithi wa Dunia.
Kuwalinda ni kuwaacha waishi Kama walivyozoea si kuwaingilia. Wakiingiliwa ndo watapotea mara moja, kama wameishi millennia kadhaa bila kuingiliwa Basi wataendelea kuwepo hata kwa uchache au wataamua kujichanganya na wengine

Kulikua na tribe kwenye misitu ya Amazon ndani mahala ambapo sio rahisi hata kudhani binadamu anaweza kuwa huko nao walikua hawajapata kuonana na jamii ya nje, mazingira yao yalipoingiliwa tu wakapukutika
 

Jamaa ndio waliyojenga USA hiyo nakubali, lakini wanaona waafrka wanawaaibisha sana. Hawapendi waafrika muulize mtu yoyote aliyeishi USA atakwambia. Mimi nimeishi USA over 15 years so najua nnachoongelea. Kuna weusi wa USA waaamini wao asili yao Africa bali ancestors wao ni black jews.
 
Hii ni kweli kabisa! Ila siwezi kuwaita wash***y kabisa, ni kasumba tu tuliyo nao watu weusi.
 
Yaah ni kweli ulichosema kuhusu uhusiano wa wamarekani weusi na waafrika, hilo pia nimelisikia pia kwa watz waliosoma Marekani. Ila nimeona pia baadhi ya wamarekani weusi wakihamasishana kuja kutembelea Afrika na kuwafunza watoto wao kuhusu mazuri ya Afrika.
 
weusi nawakubali wenye real spirit ya weusi ni wa jamaica tuu,hao wanalala jamaica ila mioyo yao iko Afrika
 
Brazil wana watu wengi sana wa asili ya africa
 
Huu ni uongo ukisema wanapambana na ubaguzi na kupigania haki zao nakubali kwa 100% lakini kamwe hawajivunii asili yao ya kuwa wao ni waafrika.


Soma post no 65 ujifunze kitu
 
Acha uongo ndugu kuhusu kujivunia rangi nyeusi ni kweli lakini kuipenda Africa hapo umebugi
 
Maisha ya watu wa Jamaica yanafanana sana na maisha ya Watanzania wengi wanaoishi vijijini.
Haya ni mashamba ya kahawa inayolimwa kwenye milima ya Blue Mountain Jamaica, kahawa inayozalishwa kwenye mashamba haya ni mojawapo ya kahawa yenye bei kubwa duniani hasa kwa sababu ya ladha yake na karibu kahawa yote hununuliwa na Japan.

 
Hapo colombia rekebisha takwimu zako hao jamaa wana watu weusi wengi sana
 
I see someting in this article
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…