Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
ARDHI
Tena wanakupa na chai [emoji477]️
Tena wanakupa na chai [emoji477]️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakudanganya?Tanzania kumejaa rushwa, sehemu nyingi huwezi kupata huduma bila rushwa. Pamoja na hilo Kuna baadhi ya taasisi ambazo hata utoe rushwa ya bilioni mia huwa hawapokei kabisa. Baadhi Ni hizi hapa....
Ndio wee nasema rongoooooHii ni habari ya Kushtua na inaweza kuleta Taharuki. Nasema uongo ndugu zangu?
Polisi wanakupa pilau kabisa.ARDHI
Tena wanakupa na chai [emoji477]️
Na mimi naunga hoja kwenye hoja uliyoiunga[emoji1787][emoji1787][emoji1]
Ngoja niunge mkono hoja
Ova
Hivi pesa za Rushwa ukimsomeshea mtoto atafaulu kweli?Rushwa ni tamu nyie