Zijue taasisi ambazo hazipokei rushwa hata kwa mtutu wa bunduki

Zijue taasisi ambazo hazipokei rushwa hata kwa mtutu wa bunduki

We jamaa uko nchi gani?
Au mimi ndo sijaelewa mwandiko wako umekaa kinyume nyume yaani umeandika kwa codes mpaka mtu atazamishe maandishi kwenye kioo ndio aelewe?
Anyway hapo kwenye list yako umewasahau manesi wa hospital za serikali hawa "hawanaga" mambo ya rushwa kabisa yaani wanakusikiliza vizuri na kukujali utapewa huduma nzuri mpaka upone hata kabla ya kumeza dawa
Pia kuna hawa viumbe wa kuitwa police hawanaga mambo ya rushwa kabisa wala njaa za vihela vyenu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi kichwa tu kulikuwa kinauma walinibeba na Ambulance huku wakinipa na hela nikanunue chakula
Yaani Dokta anamfokea nesi kwanini hawakunipa mto
 
kwasababu nikwashemejiako pili shemej sio ndugu yako ko ukikaa kwake unakuwa umeolewa wewe pamoja ba dada yako
.... ha ha ha! Halafu dadako "anavurugwa" chumbani huko wewe uko kwenye tv. Akiachika na wewe bye bye; noma sana.
 
Back
Top Bottom