Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🙌Hii ni habari ya Kushtua na inaweza kuleta Taharuki. Nasema uongo ndugu zangu?
🙄😳😳😳Naona umeshiba ugal na kambale wa shemeji ako ko unajiropokeatu
TRA yani hata kwa mtutu hawapokei rushwa.Tanzania kumejaa rushwa, sehemu nyingi huwezi kupata huduma bila rushwa. Pamoja na hilo Kuna baadhi ya taasisi ambazo hata utoe rushwa ya bilioni mia huwa hawapokei kabisa. Baadhi ni hizi hapa.
Tanesco- hawa jamaa Wana maadili Sana na kazi zao, ukienda kuomba kuanganisshiwa umeme hawatakuomba hata sh 10, hata ikitokea Dewji na yeye anataka huduma watakusikilizq kwanza wewe wa kwanza halafu Dewji atawekwa foleni.
2. Idara za maji za mikoa tofauti tofauti- hawa Ni Kama tanesco- hawana shida kabisa.
3. Uhamiaji- ukienda kufuatilia pasi ya kusafiria, nakuhakikishia huwezi kutoa hata sumni, utapata huduma zako zote ndani ya muda na bila mazingra ya rushwa.
4: Traffic polisi- hawa huwa hawana mambo mengi Kama una kosa watakupga faini, Kama Haina kosa lolotewatakuachia. Hawezi kuchukua hela yako wala kukusingizia kosa lolote, nawapongeza kwa hilo.
Wakuu ipi taasisi ambayo umewahi kupata huduma bila kutoa rushwa kabisa. Tuwapongeze.
Ahhha haaTRA yani hata kwa mtutu hawapokei rushwa.
Si hizo alizozitaja mleta madaHivi kuna taasisi ambayo haipokei rushwa!!!
Si hizo alizo zitaja mleta mada
Wwe hutaki kulinda Mali za Dada yako!!??[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwangu mim mala 100 niwe mario
Jamani hivi pale office ya DPP hakuna vishoka wanasaidie ku push Jalada liende Mahakamani!?? Maana Mwaka wa pili Sasa Jalada limekwama pale! Haliendi Mahakamani wala halirudishwi police!!?Uhamiaji kote majanga..makao makuu nje wana vishoka wao ,ukishalipa unaelekezwa then afisa anapigiwa simu ...mipakani ndio kabisa .bus likikaribia mpakani konda anauliza Kama huna passport umwone ..
Mleta mada alete ushahidiTutaamini vipi kama hawapokei rushwa!!
Mleta mada alete ushahidi
Kipengele namba 4 :-Tanzania kumejaa rushwa, sehemu nyingi huwezi kupata huduma bila rushwa. Pamoja na hilo Kuna baadhi ya taasisi ambazo hata utoe rushwa ya bilioni mia huwa hawapokei kabisa. Baadhi ni hizi hapa.
Tanesco- hawa jamaa Wana maadili Sana na kazi zao, ukienda kuomba kuanganisshiwa umeme hawatakuomba hata sh 10, hata ikitokea Dewji na yeye anataka huduma watakusikilizq kwanza wewe wa kwanza halafu Dewji atawekwa foleni.
2. Idara za maji za mikoa tofauti tofauti- hawa Ni Kama tanesco- hawana shida kabisa.
3. Uhamiaji- ukienda kufuatilia pasi ya kusafiria, nakuhakikishia huwezi kutoa hata sumni, utapata huduma zako zote ndani ya muda na bila mazingra ya rushwa.
4: Traffic polisi- hawa huwa hawana mambo mengi Kama una kosa watakupga faini, Kama Haina kosa lolotewatakuachia. Hawezi kuchukua hela yako wala kukusingizia kosa lolote, nawapongeza kwa hilo.
Wakuu ipi taasisi ambayo umewahi kupata huduma bila kutoa rushwa kabisa. Tuwapongeze.
😅😅😅😅 Nipo pale mtaniambiaTanzania kumejaa rushwa, sehemu nyingi huwezi kupata huduma bila rushwa. Pamoja na hilo Kuna baadhi ya taasisi ambazo hata utoe rushwa ya bilioni mia huwa hawapokei kabisa. Baadhi ni hizi hapa.
Tanesco- hawa jamaa Wana maadili Sana na kazi zao, ukienda kuomba kuanganisshiwa umeme hawatakuomba hata sh 10, hata ikitokea Dewji na yeye anataka huduma watakusikilizq kwanza wewe wa kwanza halafu Dewji atawekwa foleni.
2. Idara za maji za mikoa tofauti tofauti- hawa Ni Kama tanesco- hawana shida kabisa.
3. Uhamiaji- ukienda kufuatilia pasi ya kusafiria, nakuhakikishia huwezi kutoa hata sumni, utapata huduma zako zote ndani ya muda na bila mazingra ya rushwa.
4: Traffic polisi- hawa huwa hawana mambo mengi Kama una kosa watakupga faini, Kama Haina kosa lolotewatakuachia. Hawezi kuchukua hela yako wala kukusingizia kosa lolote, nawapongeza kwa hilo.
Wakuu ipi taasisi ambayo umewahi kupata huduma bila kutoa rushwa kabisa. Tuwapongeze.
Mahakama usiwasahauTanzania kumejaa rushwa, sehemu nyingi huwezi kupata huduma bila rushwa. Pamoja na hilo Kuna baadhi ya taasisi ambazo hata utoe rushwa ya bilioni mia huwa hawapokei kabisa. Baadhi ni hizi hapa.
1. Tanesco - hawa jamaa Wana maadili Sana na kazi zao, ukienda kuomba kuanganishiwa umeme hawatakuomba hata sh 10, hata ikitokea Dewji na yeye anataka huduma watakusikiliza kwanza wewe wa kwanza halafu Dewji atawekwa foleni.
2. Idara za maji za mikoa tofauti tofauti - hawa ni Kama Tanesco- hawana shida kabisa.
3. Uhamiaji - ukienda kufuatilia pasi ya kusafiria, nakuhakikishia huwezi kutoa hata sumni, utapata huduma zako zote ndani ya muda na bila mazingira ya rushwa.
4: Traffic polisi - hawa huwa hawana mambo mengi Kama una kosa watakupiga faini, Kama Haina kosa lolote watakuachia. Hawezi kuchukua hela yako wala kukusingizia kosa lolote, nawapongeza kwa hilo.
Wakuu ipi taasisi ambayo umewahi kupata huduma bila kutoa rushwa kabisa. Tuwapongeze.
Kabisa hawa wamatajwa na kila mtu,hawa wanafaa sana