Zijue taasisi ambazo hazipokei rushwa hata kwa mtutu wa bunduki

TRA yani hata kwa mtutu hawapokei rushwa.
 
Namba nne ilifaa ishike namba moja kwenye list.
Taasisi nyingine ni Kama mahospitalin hasa kipind cha kujifungua ni wakarimu hadi utatamani kubeba mimba kila mwaka..

Kipindi hiki cha mambo ya sensa uadilifu unaonekana hasa kwa watendaji kongole Tanzania
 
Uhamiaji kote majanga..makao makuu nje wana vishoka wao ,ukishalipa unaelekezwa then afisa anapigiwa simu ...mipakani ndio kabisa .bus likikaribia mpakani konda anauliza Kama huna passport umwone ..
Jamani hivi pale office ya DPP hakuna vishoka wanasaidie ku push Jalada liende Mahakamani!?? Maana Mwaka wa pili Sasa Jalada limekwama pale! Haliendi Mahakamani wala halirudishwi police!!?
 
Kipengele namba 4 :-
Hao watu ni waadilifu sana jana nilikua namlazimisha Polisi nimpe pesa ya Brash alikataa katakata akasema nikawanunulie watoto mkate yeye anasubiria mshahara uingie dah kwa kweli hawajamaa mfano wa kuigwa na taasisi zingine.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Nipo pale mtaniambia
 
Mahakama usiwasahau

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Polisi, TRA na Mahakama hao ndio hawalijui hata neno Rushwa yaani watakushangaa hata ukilitaja bila kuwasahau Manispaa.
 
MAHAKAMA:
Hawa hawaipendi na wanaichukia sana rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…