Zijue tofauti za kihuduma na Maslahi kati ya Zanzibar na Tanganyika

Ndiyo maana hata rais wa Tanganyika ni mzanzibar na wazanzibar wanagombea urais huko Tanganyika kama vile watanganyika hawapo.
Mfano katika vyama 18 vyote kuna mzanzibar anagombea urais wa Tanganyika au ni mgombea mwenza.
Yes ndiyo upumbavu wetu tumegeuka koloni la Zanzibar
 
Hicho ni kiini macho tu .mbona uhamsho walivyokuwa wanakataa muungano walipewq kesi za ugaidi ???? Jiulize muungano una maslahi gani na zanzibar??? Fikiria chukua hatua.
 
Ndiyo maana hata rais wa Tanganyika ni mzanzibar na wazanzibar wanagombea urais huko Tanganyika kama vile watanganyika hawapo.
Mfano katika vyama 18 vyote kuna mzanzibar anagombea urais wa Tanganyika au ni mgombea mwenza.


Wanavunja taratibu zozote zilizowekwa?
 
Ndiyo maana hata rais wa Tanganyika ni mzanzibar na wazanzibar wanagombea urais huko Tanganyika kama vile watanganyika hawapo.
Mfano katika vyama 18 vyote kuna mzanzibar anagombea urais wa Tanganyika au ni mgombea mwenza.
Wacha uongo hakuna mgombea urais wa Tanganyika hao wanagombe urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
 
Nakataa. Ina maana Tanganyika huwaoni waislam ??

Watanganyika wanyamaze tu kisa uislam ???
 
Unabishana na mimi mambo ya matibabu. Unaakili kweli wewe ?
Huenda ni kweli sina akili, lakini kutokuwa kwangu na akili hakukupi wewe haki ya kusema uongo. Wewe ni muongo mzandiki.
Nimefanya kazi na ZNZ miaka mingi and nime wa train sana doctors wa ZNZ nikiwa pale Ocean road . As specialist kwenye Oncology
Mkuu hii statement yako sasa, inaonesha wewe ndo huna akili. Hivi Ocean Road iliyoko Dar inahusianaje na Zanzibar? Ulikuwa na akili timamu ulipoandika hii?
Health system ya Zanzibar ipo kiganjani kwangu. Matibabu ni BURE ZANZIBAR for as long as wewe ni Mzanzibar
Wacha kujifanya unaijua health system ya Zanzibar! Actually you are ignorant of the Zanzibar health system. Stop pretending or else you will be deceiving yourself and those who are of your kind.
 
Nakataa. Ina maana Tanganyika huwaoni waislam ??

Watanganyika wanyamaze tu kisa uislam ???

Sasa hata mkipiga kelele, ndugu zetu wazanzibari wana kosa gani? Wao waliutaka huu muungano?

And yes, kuna watu wanaficha chuki zao dhidi ya Uislam na Waislam nyuma ya kuwachukia wazanzibari.
 
💯💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…