Uchaguzi 2020 Zikiwa zimebaki siku 20, wapinzani wanashindana huku akili na mioyo yao ikiamini mshindi ni Magufuli

Uchaguzi 2020 Zikiwa zimebaki siku 20, wapinzani wanashindana huku akili na mioyo yao ikiamini mshindi ni Magufuli

Zimebaki siku 20 tufikie uchaguzi. Hali ya mambo ni kuwa Tundu Lissu, Le profeseli Lipumba na wengine wengi akiwemo mzee wa mtama ni wazi kuwa hawa watu wamesanda.

Watu hawa wanashindana ili kutimiza wajibu. Magufuli hata angeamua kupunga tuu mkono, bado angepita kwa kishindo kutokana na mambo aliyowatendea watanzania. Kama wapinzani watapata walau wabunge 20 basi wakifika bungeni safari hii wabadilike, wafanye kazi kwa naslahi ya wananchi.

Viva Magufuli Viva

Amani Msumari
Tanga
Mkutano wa leo pale Benjamin stadium ndiyo msumali wa mwisho kwa upinzani.Dar tayari iko mikononi mwa ccm, na bado mikutano mitatu kuanzia kesho.Hayo ndiyo mahesabu ya ccm kikampeni.
 
Hakuna wa kuishinda ccm. 28,oct ni ushindi na zaidi ya ushindi. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM.
 
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
Utabaki kulialia hivo tu wenzio wanaendelea kushinda kila Uchaguzi.
Nakwaakili zako hizi Kama ndo ungekuwepo wakati wa kupigania Uhuru wa Nchi hii pengine tusingeupata, kwa kuamini kuwa Wakoloni wametuzidi kila kitu Hatuwezi kupata Uhuru wetu.
 
Lowassa licha ya ukweli kwamba kiafya hakuwa vizuri mwaka 2015 bado nafsi yake ilikuwa imejaa utu kwa kila aliyekutana nae wakati wa kampeni.

Huyu wa sasa amejaa kiburi na majivuno, nafsi yake haina mvuto licha ya kuweza kufanya mikutano ya kampeni akiweza kujieleza kwa kina.
 
Lisu anatosha!!!
Zimebaki siku 20 tufikie uchaguzi. Hali ya mambo ni kuwa Tundu Lissu, Le profeseli Lipumba na wengine wengi akiwemo mzee wa mtama ni wazi kuwa hawa watu wamesanda.

Watu hawa wanashindana ili kutimiza wajibu. Magufuli hata angeamua kupunga tuu mkono, bado angepita kwa kishindo kutokana na mambo aliyowatendea watanzania. Kama wapinzani watapata walau wabunge 20 basi wakifika bungeni safari hii wabadilike, wafanye kazi kwa naslahi ya wananchi.

Viva Magufuli Viva

Amani Msumari
Tanga
 
Utabaki kulialia hivo tu wenzio wanaendelea kushinda kila Uchaguzi.
Nakwaakili zako hizi Kama ndo ungekuwepo wakati wa kupigania Uhuru wa Nchi hii pengine tusingeupata, kwa kuamini kuwa Wakoloni wametuzidi kila kitu Hatuwezi kupata Uhuru wetu.
Balambile balambile bamutu ba kwetu
 
Kaka hakuna anaelazimishwa kwenda kwenye mikutano Ila sio dhambi wadau kuwaandalia watu usafiri
Una uhakika au unasema tu, mbona kokote anakopita mashule lazima yafungwe?

Kama mnakubalika hayo yote ya nini ? Watu watakuja wenyewe kwa mapenzi yao ya dhati kama wafanyavyo upande wa pili.
 
Lissu ushindi ni lazima kwa sababu mungu wa isaka na wa ibrahim na wa yakoko anamlinda Tundu
 
Una akili kweli upinzani ushindwe na anayejaza watoto uwanjani , anayesomba watu kwa malori , wansovalisha watoto kijani kibichi .
IMG_20201010_000320.jpg
Screenshot_20201006-173027.png
IMG_20201005_180725.jpg
 
2020 ipo kivingine CCM bye bye hakuna mabaya yasiyo na mwisho, walikuwepo akina Bokasa, Gadafi , Sadam Hussein, Abacha, chiluba, mabutu, Elbashiri wa Sudan, Iddy Amin dada leo hii wapo wapi?

Tukutane hapa 2810 mkuu tufanye kati ya haya mambo mawili tuu
1.Mimi nikupe pole na wewe unipongeze
2.Mimi nikupongeze na wewe unipe pole

Ila vile mimi nna uhakika wa kupongezwa na wewe una uhakika wa kupongezwa pia naomba tuwekeane dau💰💴💵💸💷💶💱💲
 
Back
Top Bottom