Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Mkutano wa leo pale Benjamin stadium ndiyo msumali wa mwisho kwa upinzani.Dar tayari iko mikononi mwa ccm, na bado mikutano mitatu kuanzia kesho.Hayo ndiyo mahesabu ya ccm kikampeni.Zimebaki siku 20 tufikie uchaguzi. Hali ya mambo ni kuwa Tundu Lissu, Le profeseli Lipumba na wengine wengi akiwemo mzee wa mtama ni wazi kuwa hawa watu wamesanda.
Watu hawa wanashindana ili kutimiza wajibu. Magufuli hata angeamua kupunga tuu mkono, bado angepita kwa kishindo kutokana na mambo aliyowatendea watanzania. Kama wapinzani watapata walau wabunge 20 basi wakifika bungeni safari hii wabadilike, wafanye kazi kwa naslahi ya wananchi.
Viva Magufuli Viva
Amani Msumari
Tanga