Zile ziara za nje ya nchi za rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan siku hizi zimeenda wapi?

Hata hamweleweki nyie.
Akisafiri mnaandamana mitandaoni makele kama yote. Mara oooh Vasco da Gama.
Asiposafiri mnakonda tena.
Hivi ya NRNE mshamaliza?
Genz wanamuhitaji pale Kenya majirani zetu wema akasalimie mana kitambo ss
 
Fikiria anafika kwa mzee Trambu halafu anakaa pale oval office amezungukwa na yule makamo halafu wanaplay video za kauli zake kifo ni kifo tu, lazima jasho la choo litoke.
 
Kule mbinguni labda kwenye ule upande ambao waumini wa RC wanakaa ila Kwa upande wa Muslim na walokole hutasikia neno pombe.

Kwa upande wa sabato hata soda hupati.
Waislam kuna vyombo walokole wao ni motoni tu wanazagamuana vibaya sana
 
Alikuwa ana TANGA TANGA TU.
RAISI WA MAREKANI HATANGITANGI
 
Aende wapi siku hizi, watoto watukutu kutoka Kenya wapo macho kutizama anaenda wapi ili waendelee kuporomosha matusi nje huko aendako, tena walivyojinasibu wanajua English si ndio watabadili matusi yawe kwa kiingereza tupate shida kuyaelewa siyeπŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…